Hadi Corona iishe sijui tutagegedwa wapi tulio single

Hadi Corona iishe sijui tutagegedwa wapi tulio single

Watu wakichokana wanafanya mambo ya ajabu.
Mkifikia hatua ya kutaka kuonekana mbele za watu kwamba nyie ni mke na mume wakati mkiwa ndani kila mmoja ana chakula chake kila mmoja kitanda chake si bora muachane mazima.
 
Kubali tu kuolewa aise na mtu kutoka kwa Mungu,maana ukiwekwa lockdown lazima utoke umejiharibu.
 
Mkifikia hatua ya kutaka kuonekana mbele za watu kwamba nyie ni mke na mume wakati mkiwa ndani kila mmoja ana chakula chake kila mmoja kitanda chake si bora muachane mazima.
Ndoa za kibongo hizo. Mimi hata siamni hata kwenye taasisi nzima ya ndoa.
 
Wanasemaga mnauwezo wa kukaa hata miezi sita bila kupata mzuka wa kugegedwa asa imekuwaje tena wiki mbili tu mmeanza kujihami? Au zinakuwaga story tu za wanyabi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake watakuwa wanajiendekeza tu. Naamini ni rahisi zaidi kwa mwanamke kumpata mtu wa kumbutua kuliko mwanaume.
Ndio maana mwanamke hata akiwa chizi ,wahuni wanalala nae lakini mwanaume hata husipokuwa chizi kuipata papuchi ni kipengele
For sure mkuu wanawake n rahisi Sana wako wakitaka kuliwa

One love
 
kwani wewe na mwenza wako mkishanawa na sanitizer mambo mengine si yanaendela kama kawaida au?😊😊😊😊
 
Nyege mbaya sana

Sent from my vivo X21 using Tapatalk
 
Wewe nawe kila siku uko single tu? unatafuta nini sasa? na PM yako unafunga, ili iweje? unatuchosha bhana, ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom