Hadi Corona iishe sijui tutagegedwa wapi tulio single

Hadi Corona iishe sijui tutagegedwa wapi tulio single

Hiki kipindi kwa wale tulio single ila tuna michepuko ya kujipoozesha tunapataje shida
Kwa Sasa inabidi tuwe single kiukweli yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wapo kwenye ndoa hawana tofauti na wewe kila mtu na chumba chake au mzigo mara moja kwa mwezi. Tukienda kwenye lock down kuna watu watatoka na divorce cases.
 
Toka Corona ianze mm na wife hatujagusana wala kukisi na wife analala chini mm kwa kitanda,noma sana.
Ila kwa tuliosoma boys school sio ishu sana.
 
Mimi wosia wangu ni kwamba kwa wale watakaoshindwa kuvumilia kipindi hiki msisahau kufanya Corona safe sex
Screenshot_20200316-221451-picsay.jpeg
 
Kuna mabaharia wamejipanga kuitumia hii fursa kugegeda singles, wanaoga sanitizer, wanakunywa sanitizer, wanafulia nguo sanitizers. WAMEJITAKASA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wapo kwenye ndoa hawana tofauti na wewe kila mtu na chumba chake au mzigo mara moja kwa mwezi. Tukienda kwenye lock down kuna watu watatoka na divorce cases.
Hivi inakuwaje watu ni wanandoa lakini wanalala vyumba tofauti ?
 
Back
Top Bottom