Gan star
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 379
- 987
Hzi hiace zinatakiwa zipigwe marufuku , zinasababisha matatizo ya uti wa mgongo Bora zile high roof...kiufupi Tu mkurugenz wa Arusha anatakiwa azibe masikio Kwa hili, ni kuzifire zote
..
Hzi hiace zinatakiwa zipigwe marufuku , zinasababisha matatizo ya uti wa mgongo Bora zile high roof...kiufupi Tu mkurugenz wa Arusha anatakiwa azibe masikio Kwa hili, ni kuzifire zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unaibisha arusha yetuKuna daladala zile za kwenda Chekereni yaani zinakimbia huku zinacheka.
(Njoo kule uone kitu cha yule rafiki yako wa Arusha)
Viatu vya Samaki, vifodi vinakimbiaje huku vinacheka 😀 😀 🙂Kuna daladala zile za kwenda Chekereni yaani zinakimbia huku zinacheka.
(Njoo kule uone kitu cha yule rafiki yako wa Arusha)
me kipindi nipo huko nilikuwa napenda kupanda zile za LIVERPOOL.......Kuna daladala zile za kwenda Chekereni yaani zinakimbia huku zinacheka.
(Njoo kule uone kitu cha yule rafiki yako wa Arusha)
Daladala kukufuata ni kosa mtu ndio anafata bus acha umwinyitehteh mkuu chuga sio dar usafiri mpaka upitie dirishani,na kupigana vikumbo....
huku daladala inakufuata ulipo sio dar unaifuata daladala.......,,
Including MbeyaKuna majiji hayakutakiwa kupewa hadhi ya jiji
Sasa machalii mmekuwa wamama hadi mbembelezwe nyie si masela? [emoji23][emoji23]Ndio maana nkamuambia jamaa mmoja kwamba arusha inahitaji coster maana watu wake wanachagua mno hawanaga haraka kiivo tunapenda kubembelezwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona [emoji23]Viatu vya Samaki, vifodi vinakimbiaje huku vinacheka 😀 😀 🙂
Arusha inahitaji min bus kwa sasa. Hizi gari hiace ziende kubeba matango na nyanya huko King'ori.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unaibisha arusha yetu
Hawa ndio wa kwa mtogole, Vingunguti nao wanajisifuUnaweza kudhani anasema dar ni kila kitu labda anaishi Masaki,msasani,o'bay,ununio kumbe yuko zake uswahilini huko wanashindia miguu ya kuku.
Kuna daladala nimesahau jina ila nitaitafuta nilete na picha yake hapa, milango inafungwa kamba ya manila
Niliahidi leo nimeipataView attachment 1236147