Hadhi ya jiji la Arusha na daladala zake

Hadhi ya jiji la Arusha na daladala zake

Ivi io picha ya pili n arusha sehemu gani
e6f7512cb6e37f62aca9415a6912ab66.jpg
 
Mkuu mara ya mwisho kwenda kilombero na stendi n lini maana sa hv coster xinaoperate kama daladala na watu wanapanda hizo kuliko daladala kama hapa stendi ndogo upande wa kutokea kwenda usa na ngaramtoni kuna coster mbili moja inaenda hafi kingori nyingine n kikatiti zikija hata iwe mchana watu wanakimbilia kuliko ambande daladala na zinajaa haraka maana watu wanaona n bora kuliko hiace kwanzia kubanana mpaka hewa m niko arusha kama mwezi tokea nimerudi ila sikuwa najua kuna coster maana n chache na zinabeba haraka watu hazilali stendi zaidi ya 10min ila jana nimekesha stendi ndogo ndio nkaona kama mbili na kuna za atomic za engutoto olasiti inshort kwenda ngaramtoni na kwenda chekereni na kijenge na majengo ndio sikuona coster zilizoanza izo root ila coster sa hv zipo na n dili kamausiku coster za moshi zinapiga root ya morombo na usa
Wacha uongo wewe kuna Coaster moja tu stendi ya kilombelo..
 
Wacha uongo wewe kuna Coaster moja tu stendi ya kilombelo..
Njoo mjini sa hv kama upo nikuoneshe m nlikuwa sijui kama ipo hata io moja ila ukikaa stendi unajua kuna kingori monduli iko ina masikio kuna ya olasiti atomic kuna engutoto kikatiti kuna morombo engutoto mkuu ee niko town hapa mianzini kama unaweza ibuka town tufanye survey kama hazizidi kumi
 
Mm siko arusha ila niliwahi kuwepo miaezi iliyopita..
 
Kweli watanzania tumezoea shida mpaka zimekuwa kama sehemu ya utamaduni wetu. Ni hivi: town buses kwenye mji wowote huwa zinakwenda kwa ratiba maalum. Mfano ikipangiwa kuondoa kituo A saa moja na kufika kituo cha mwisho saa mbili, basi ni lazima ifuate hiyo ratiba. Haijalishi kama gari limejaa au lina mtu mmoja. Huu ndiyo mfumo wa mabasi ya mjini kote duniani. Hata Dar zamani enzi za UDA ilikuwa hivyo. Kinachotakiwa ni mamlaka kuhakikisha huu utaratibu unafuatwa. Kama mtu hataki basi akabebe samadi ambapo gari husubiri mpaka lijazwe!
Mkuu embu nitupie kipande cha mwisho cha hiyo movie hiyo hapo kwenye avatar yako, siku Ile sikupata nafasi ya kuangalia
 
Back
Top Bottom