RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,979
- 4,390
Mz
Mzee unaonekana ushazoea kukunja miguu na mgongoCoaster kupotezeana muda tuu. Ukikuta coaster inapakia pale stendi ndogo na ukawa abiria wa kwanza itakuchukua dk 45 kujaa kama ni mchana. Na kusafiri hadi usa itakuchukua tena lisaa zima. Hiace inachukua dk 10-15 kwa mchana kusafiri hadi usa itachukua dk 30. Sababu kubwa ya coaster kuchelewa ni kubeba watu wengi zaidi ya hiace. Bora nipande Hiace sio coaster.