Kwa hiyo iyo ni Uber au public transport? AU basi haukupaswa kuitwa jiji kama usafiri wa umma bado unatoa huduma za tax!!tehteh mkuu chuga sio dar usafiri mpaka upitie dirishani,na kupigana vikumbo....
huku daladala inakufuata ulipo sio dar unaifuata daladala.......,,
Basi huko hakuna mzunguko wa watuCoaster kupotezeana muda tuu. Ukikuta coaster inapakia pale stendi ndogo na ukawa abiria wa kwanza itakuchukua dk 45 kujaa kama ni mchana. Na kusafiri hadi usa itakuchukua tena lisaa zima. Hiace inachukua dk 10-15 kwa mchana kusafiri hadi usa itachukua dk 30. Sababu kubwa ya coaster kuchelewa ni kubeba watu wengi zaidi ya hiace. Bora nipande Hiace sio coaster.
kwanini isipite?Ivi wakisema majiji yapite mbele Arusha itapita
1st class public transport hakuna kugombania sitiKwa hiyo iyo ni Uber au public transport? AU basi haukupaswa kuitwa jiji kama usafiri wa umma bado unatoa huduma za tax!!
Haina hadhi..Unamaanisha nn
Vidude vya ngaramtoni huko ndio vya kujikunja, njiro sijawai ona vya dizain ile the same to kisongo, na hata moshono kama vipo ni kwa kiasi kidogo.Kweli Jombaa,mimi ni mkazi wa Arusha,kusema ukweli huu usafiri wetu unahitaji mtu awe flexible,uwe na uwezo wa kujikunja na kukunjuka. Ukiwa rigid inakula kwako na pia ikitokea ajali kutoka ni kudra za Mwenyezi Mungu.
Kwenye baadhi ya mambo ndio itabaki kuwa the best. na wala usiseme DSM ndio kila kitu
Emu nitajie yenye hadhi n ipi?Haina hadhi..
[emoji849][emoji849][emoji849] sasa usafiri wa umma dar unakuwaje ndio kila kitu tz maana apa tunaongelea usafiri ambao dar n kero mara 1000 kuliko arusha
Ndio maana nkamuambia jamaa mmoja kwamba arusha inahitaji coster maana watu wake wanachagua mno hawanaga haraka kiivo tunapenda kubembelezwa [emoji23][emoji23][emoji23]Vidude vya ngaramtoni huko ndio vya kujikunja, njiro sijawai ona vya dizain ile the same to kisongo, na hata moshono kama vipo ni kwa kiasi kidogo.
Kingine watu wa Arusha wanachagua gari hatari, sio kama dar abiria anaikimbilia gari [emoji23] watu wa huku mpaka wabembelezwe ndio wanasikia raha ya kupanda gari
M nashangaa uzi wa usafiri ndani ya mji kuna mtu anakuja na comment kwamba dar ndio kila kitu sijaona spexial life yake zaidi ya kero za foleni na kuwaste time road afu huo msemo wa dar ndio kila kitu una imply kwenye nn na nnKwenye baadhi ya mambo ndio itabaki kuwa the best. na wala usiseme DSM ndio kila kitu
Me huko ndio home lakini sipapendi na baadhi ya mambo yake
Fafanua mkuu kila kitu kwenye aspect ipi na ipi maana mikoa mingi tz inaishi bila hata umuhimu wa dar yani ukifunga road zao na dar hakuna kinachopungua wala kuongezeka
Arusha coaster ni kwa watalii na vipanya ambavyo vinatolewa morogoro vinauzwa arusha kwa ajili ya abiria wa kawaida ,sema watu wawili wakianzisha kuja na coasters wengine wataiga mana coaster inabeba abiria wengi kwa trip moja, arusha inahitaji mabadiliko makubwa kwenye usafiri pia stand kubwa ile ni kimeo hata ile ndogo ya dar, naongea iv mana mi naishi moro na arusha njiro nikilinganisha usafiri mzuri moro kuliko arusha , mana moro hakuna vidaladala( vipanya) viliisha vyote ni mwendo wa coastersKwa hatua ambayo imefikiwa na jiji letu la arusha ni muhimu kubadilishia aina ya usafiri. Daladala tunazotumia ni ndogo na zinabeba idadi ndogo ya watu kwa wakati mmoja jambo linalopelekea usafiri huu kuwa na kero za hapa na pale. Naona ni wasaa wa kuanza kutumia basi kubwa zaidi kama coaster angalao. Ukuaji wa jiji na miundombinu uende sambamba na usafiri wa umma ulio bora zaidi.
Ameongelea usafiri wa daladala, kwa sababu kwa sasa hana uwezo wa kununua gari yake.Nunua gari uepuke mateso