Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,040
Wahi anataka kuondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuja
Ivi wakisema majiji yapite mbele Arusha itapita
Anhaa sawa ila m nnaongelea current saa hv kuna costa zaidi ya kumi na hazikai stendi watu wana prefer kuliko vifodiMm siko arusha ila niliwahi kuwepo miaezi iliyopita..
Ndio nnachomwambiaKw
Kweli mzee mtu ukiwa na coasters zinakimbiliwa na wateja na zinajaa mapema, na kuziacha hiace sema hiace wakianza kukosa wateja nao watahamia kwenye coasters na automatic vidaladala vitakwisha arusha
Haya bana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1 Dar
2 Mwanza
3 Mbeya
4 Dodoma
5 Arusha kamji kadogo sana... mijengo ya kizamani, barabara za hovyo kupishana tu mpaka uvae glass, waendesha bodaboda na magari wanarafu sana....In short hawana ustaarabu...kwakweli hawakustahili kupewa jiji basi tu serikali yetu iliwaonea huruma wasione wametengwa maana yasemekana hawa sio watanzania/Ndugu zetu, ni wakimbizi from nowhere
Kumbe na wewe upo chuga kiongozi?Ungejua toka nizaliwe sijawahi kuiona wala kufika kibondo..
Hapo kwenye kutokuwa na ustaarabu nakuuonga mkono. Halafu pia kwenye kuvuka Barbara, yani wanavuka roughly bila kuzingatia Mataa1 Dar
2 Mwanza
3 Mbeya
4 Dodoma
5 Arusha kamji kadogo sana... mijengo ya kizamani, barabara za hovyo kupishana tu mpaka uvae glass, waendesha bodaboda na magari wanarafu sana....In short hawana ustaarabu...kwakweli hawakustahili kupewa jiji basi tu serikali yetu iliwaonea huruma wasione wametengwa maana yasemekana hawa sio watanzania/Ndugu zetu, ni wakimbizi from nowhere
Io n kweli ila kaongea kwa kupanic afu arusha tokea lini ustaarbu ukafatwa mambo n mengi muda mchacheHapo kwenye kutokuwa na ustaarabu nakuuonga mkono. Halafu pia kwenye kuvuka Barbara, yani wanavuka roughly bila kuzingatia Mataa
Haya bana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunua gari uepuke mateso
Zamani sio sasa hiviKumbe na wewe upo chuga kiongozi?
😂😂 kwahiyo hamfati ustaarabu makusudi? Shauri yenuIo n kweli ila kaongea kwa kupanic afu arusha tokea lini ustaarbu ukafatwa mambo n mengi muda mchache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] mm sina gari ila arusha n kiboko yani gari inaweza ikakupita hata miguuni naa tushazoea au uko zebra unavuka afu mwenye gari anataka usimame apite yeye kwanza[emoji23][emoji23] kwahiyo hamfati ustaarabu makusudi? Shauri yenu
Ni kama wahusika hawajui kama Arusha ndio image ya nchi kwakuwa watalii wengi huingia Arusha na kurudi kwao bila kwenda Dar.Hizi hiace Ni kiboko, siku ya kwanza napanda nilihofu sitoingia ndani, wabadilishe Tu hazina hadhi ya Jiji la kitalii
😂😂😂😂 itakuwa ni daladala za sanawari ya juu hiyoKuna daladala nimesahau jina ila nitaitafuta nilete na picha yake hapa, milango inafungwa kamba ya manila
Sasa dar na Arusha wapi na wapiHapana ila kwenu katavi itapita mbele kama jiji.
Mkuu avatar yako huwa inanifurahsha Sana 😀Arusha ni jiji bovu sana!
Linahitaji ukarabati wa kimuundo na kimfumo!
Coaster moja , jaman,.....naona Mwanza zimekuwa nyingi Sana, sjui Kwa sababu watu ni wengiKuna costa now moja mpyaa inaenda Hadi King'ori.asubuhi inapita Maji ya chai mida ya saa mbili kasoro daily