Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

Huwa ninasikitika sana ninapoona matukio kama haya kutoka kwa vijana wenzetu, lau vijana tungejua maisha haya tunaishi mara moja tu, hakuna mahali pengine tutapata maisha mengine, pia tungejua hatuishi kwa bahati mbaya kwa sababu kupatikana kwa binadamu mmoja ilikua ni chansi ya moja kwa milioni kadhaa wakati wa utungaji wa mimba, pia tungejua juhudi walizofanya wazazi wakati tulipokuwa hatujiwezi mapaka tulipo jiweza lakini tunayachezea maisha kwa kiasi kisicho elezeka ! Inasikitisha, inasikitisha sana.

Any way! Wajaliwe pumziko la milele.
Wapone kwa haraka walio jeruhiwa.
 
Hio clip ya pili utasema ni mishale wanavyochomoka 😳
Na vijana wa chuga wanavyojua kuzipelekea moto hizo toyo utadhani siyo fekon, toyo nk alafu hawapendi boxer wala TV's wanakwambia hizo za wadosi.

Kuna mafundi wao kule majengo huwa wanaenda kuongeza nguvu ya mashine, sasa wakipiga Kvant kushushia na energy mama eh umwambii kitu chalii hapo aisee!.

Hapo ndo chombo inatembelea mguu mmoja wa mbele tu, siyo wa nyuma!.
 
Na vijana wa chuga wanavyojua kuzipelekea moto hizo toyo utadhani siyo fekon, toyo nk alafu hawapendi boxer wala TV's wanakwambia hizo za wadosi.

Kuna mafundi wao kule majendo huwa wanaenda kuongeza nguvu ya mashine, sasa wakipiga na Kvant na kushushia na energy mama eh umwambii kitu chalii hapo aisee!.

Hapo ndo chombo inatembelea mguu mmoja wa mbele tu, siyo wa nyuma!.
Hio clip ya pili kuna gari imepigwa overtake 😆 🔥 vyuma vinatoka nduki kama msafara wa raisi vile
 
Back
Top Bottom