Kabisa. Ila mtoa mada inabidi awatahadharishe watu kuhusu kufungua hizo video kunawengeni wako very sensitive na video kama hizo zinaweza kuwaletea shidaNahisini arusha au moshi...
Ofcoz mwenye ndoa na familia hawezi kufanya ujinga kama wa hawa jamaaNaona wapo kwenye campaign ya kukataa Ndoa ndiyo maana wanakufa kijinga hawa
Ndio michezo yao arusha na moshi wanaweza kutoka arusha kwenda moshi kupeleka dili babu awambii kitu hao madogo utawaonea huruma hao awajui tuta ni nini, tena wanatangulizaga wenzao wawili mbele kucheki njia ikojeNahisini arusha au moshi...
Bangi na mirungi zinawaharibu sana boda, yani moshi na arusha unakuta kijiwe kimoja boda wote wanakula majani kama mbuziNdio michezo yao arusha na moshi wanaweza kutoka arusha kwenda moshi kupeleka dili babu awambii kitu hao madogo utawaonea huruma hao awajui tuta ni nini, tena wanatangulizaga wenzao wawili mbele kucheki njia ikoje