Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

Hadhari video inatisha: Hawa bodaboda waliopata ajali ni wapi?

Mimi huwa naendesha mwendo mdogo sana pikipiki speed 40-60KPH ila licha ya kwenda taratibu hivyo bado huwa naiona siyo salama sasa hawa jamaa wanao kimbia namna hiyo hadi mtu wa gari kwa busara zake kaamua kupaki pembeni wao hawaoni tu hiyo ni ishara kuwa wanafanya vitendo vya hatari?
 
Back
Top Bottom