Waliotaka Muungano wa Mkataba ni wachache sana wakiongozwa na Marhum Seif.Nimetoa mfano kuwa wananchi wengi walitaka muungano wa mkataba ila mbona Warioba aliweka serikali 3 na sio suala la mkataba? Mbona issue ya serikali za majimbo lilipigwa chini? Maana yake maoni yote walichukua ila walichakata na mengine kuyatoa na baadhi kubakiza.
Yes ili kuchukua na kuacha lazima ufanye analysis katika hoja, ndio msingi wa Tume ya Warioba kukataa upuuzi wa mkataba kwasababu waliotaka hawakuweza kutetea hoja zao zenye hila.Mwananchi kumsikiliza ni muhimu ila kuchukua au kuacha maoni yake ni suala jingine kuliko kutomsikiliza kabisa.
Nguruvi3, Naomba kitu kimoja. Unaponitaja katika hoja yako, vema na ustaarabu ukasubiri kwanza Majibu yangu unisome na unielewe vizuri badala ya kuweka maneno ambayo pengine wewe ndio hukuniewa.Mkuu Mkandara with all due respect kuna eneo hulifahamu kabisa au unafanya makusudi kupotosha
Katiba ya Warioba inasema kutakuwa na Wabunge 75 wa Federal Government. Serikali washirika zitatafuta namna ya kuwapata. Mfano wa sasa ni Wabunge 5 kutoka Baraza la Wawakilishi wanavyopatikana Dodoma
Kuhusu majimbo 314 kwamba Bunge litakuwa na mara mbili ni upotoshaji au kutojua jua.
Zanzibar wana Baraza la Wawakilishi lenye wajumbe 50 tu. lakini Wabunge wao ni zaidi ya 100.
Sababu kubwa ni moja, Wabunge wanaokuja Dodoma wanalipiwa na Tanganyika hata kama watakuja 1000 haihusu uchumi wa Zanzibar. Wale 50 wanaolipiwa na SMZ ndio maana ni wachache
Leo ukiwaambia Wazanzibar walipie Wabunge wao wanaokuja Dodoma idadi itapungua kwasababu ni mzigo kwa SMZ. Kwabile wanalipiwa na fedha za Watanganyika basi wanagawa mitaa ya watu 3000 kuwa jimbo.
Kwa upuuzi hu urakosaje wabunge 314.
Kukiwa na Serikali ya shirikisho, Zanzibar watakuwa na utaratibu wao wa kupata Wabunge wa Muungano na BLW.
Tanganyika itakuwa na utaratibu wake. Kuna uwezekano kuwa 100 au 200 kwasababu ni utaratibu tu wa kugawa majimbo.
Watanganyika wataamua Bunge lao liwe na Wabunge wangapi si suala la kusema sasa ni 314 wakati huo watakuwa 628.
Marekani ina Wabunge wa majimbo 400 ikiwa na population ya watu milioni 300. Kwanini Tanzania iwe na Wabunge 300. I mean ni ulafi tu wa kujigawiwa majimbo si suala la utendaji au gharama.
Katika hao 314 unaosema wapo kutoka Zanzibar wanaowakilisha watu 3,500 na Wapo wanaowakilisha Watu 800,000 huku bara. Najaribu kulkuelewesha kwamba hakuna Formula ni ulafi tu, serikali za nchi husika zinapaswa kuamua zenyewe. Angalia mfano wa Kenya, seneti na Wabunge wanavyopatika
Kuna mambo mawili nakubaliana na MkandaraHii haiwezekani mpka katiba mpya iwepo na automatically itapunguza mamlaka ya Rais.
Mfano huwezi sema Bunge liwe huru ilihali kwenye katiba rais ana mamlaka ya kuvunja bunge kama likipinga bajeti au kusema huwezi kubaki bungeni bila chama maana yake ukipinga serikali wakikuvua uanachama sio mbunge tena maana hatuna wagombea binafsi. Maana yake hakuna bunge huru, sasa rasimu ya warioba iliondoa hizo clauses.
Pia Rais kuteua majaji moja kwa moja kunaondoa uhuru wa mahakama sasa ili kutenganisha mihimili lazima katiba mpya ili ipunguze hizo mamlaka za rais kuingilia mahakama. Imagine mpaka bajeti yao wanamlilia rais unategemea itakuaje? Ila katiba mpya inaweza demarcate authority, independence and accountability of the judiciary arm.
Hapa ni mutual exclusive, huwezi kuwa na mihimili huru na wakati huo huo Rais awe na mamlaka makubwa!!
Nianze kwanza na Mada yenyewe. Mada hii ilihusu hadaa ya muundo wa Serikali (Dola) na nikaeleza jinsi usivyokuwa huru nanhakuna separation of Power. Tukamaliza huko vizuri tu.Waliotaka Muungano wa Mkataba ni wachache sana wakiongozwa na Marhum Seif.
Swali waliloshindwa kujibu ni moja, ni mkataba wa mambo gani! Tume ya Warioba ilibaini mkataba ulilenga kuafikiana mambo yenye manufaa kwa Zanzibar. Kwa mfano, Wazanzibar wanajua soko kubwa la biashara lipo bara. Wanatambua ili kufikia masoko mengine lazima wapitie bara. Kwamba, ajira za vijana wao ni bara. Gharama za ulinzi na mambo ya ndani ni kubwa kwao. Hivyo walitaka kuchagua baadhi ya mambo wanayonufaika nayo yawe ni ya mkataba ikiwemo umiliki wa ardhi.
Katika Mkataba Tanganyika hainufaiki na chochote, Mzee Warioba kapiga chini wazo hilo kwasababu halikuwa na mantiki (logic) bali nia ovu iliyojificha miongoni mwao
Yes ili kuchukua na kuacha lazima ufanye analysis katika hoja, ndio msingi wa Tume ya Warioba kukataa upuuzi wa mkataba kwasababu waliotaka hawakuweza kutetea hoja zao zenye hila.
Serikali Ina muhimili mmoja tu ExecutiveHili ni swali kwa wahenga wa jukwaa hili la Siasa. Naomba pia ufafanuzi wake.
Ni Sura au Ibara gani ya Katiba ya JMT inayosema hivi: -
Serikali ina Mihimili mitatu.
1. Bunge -Parliament
2. Mahakama - Judicial
3. Serikali - Executive
Kama ulimsikiliza Mzee Warioba , kulikuwa na miaka 4 ya kipindi cha mpito toka 2014 hadi 2018 kutoa mudaOk, Naomba kitu kimoja kutoka kwenu nyote maana yawezekana mimi sikufuatilia rasimu ya Warioba ambayo imezungumzia Serikali 3.
Ni Sura au ibara gani ya Rasimu hiyo inazungumzia Muundo wa Serikali ya Tanganyika ikiwa mpaka sasa tunavyo jadiliana hapa hakuna Katiba ya Tanganyika!
Nikiisoma Sura au ibara hiyo itanisaidia kujenga hoja zangu maana napowasoma nashindwa kuelewa mmepata wapi huo muundo wa Serikali ya Tanganyika.
Haya please, ukumbi wako..
Shukran, Rasimu ya Katiba Mpya ni muundo wa Katiba ya JMT kwa hiyo zile hesabu mlokuwa mkitoa sii za kweli ila mnadhani Katiba ya Tanganyika inge au itakuwa hivyo sio?. Mpaka hapa tupo pamoja.Kama ulimsikiliza Mzee Warioba , kulikuwa na miaka 4 ya kipindi cha mpito toka 2014 hadi 2018 kutoa muda
Huu ndio uliokuwa muda wa Tanganyika kutengeneza serikali yake kwasababu ya Zanzibar ipo.
Rasimu ya Warioba ilizungumzia mgawanyo wa Serikali 3 na muundo wa Serikali ya shirikisho. Rasimu haikuzungumzia muundo wa Serikali ya Tanganyika kwasababu katika kipindi cha mpito Watanganyika watatengeneza Katiba yao .
Muundo wa Serikali ya Tanganyika tunaousema ni MIFANO, ndio maana kila sentensi hasa mimi huanza kwa kuandika ''mfano''. Hakuna mtu anayejua muundo kwasababu haujajadiliwa
SI kazi ya Rasimu kujadili muundo wa Serikali Washirika, kilichotokea ni kutoa muundo wa Serikali kuu
Ilikuwa ni makusudi ili kulinda Muungano. Laiti Rasimu isingetoa muundo wa Serikalia kuu, maana yake kungekuwa na mvutano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Rasimu ili 'pre empty contentious matter'' ili kulinda muungano.
Tuelewane kwamba mifano tuliyotoa ilikuwa na maana moja, kwamba, Bunge unaloliona sasa halitakuwa hivyoShukran, Rasimu ya Katiba Mpya ni muundo wa Katiba ya JMT kwa hiyo zile hesabu mlokuwa mkitoa sii za kweli ila mnadhani Katiba ya Tanganyika inge au itakuwa hivyo sio?. Mpaka hapa tupo pamoja.
Kumbuka wa viti maalumu pia wanagawanywa kwa Zanzibar 1 usisahu hiliOn records Majimbo ya Tanzania Bara ni 272 na idadi ilofanya Wabunge kufikia 314 ni pamoja na wale walio chaguliwa na rais pamoja na viti maalum.
Viti maalumu ni wangapi?Na kule Zanzibar kuna majimbo 50 na kuna Wabunge wengine 5 wanao chaguliwa na baraza la wawakilishi hivyo idadi kamili ya Wabunge wa Zanzibar ni 55.
Spika ana jimbo ni sehemu ya Wabunge namba si sahihi.Na Bunge la Zanzibar linawakilishwa pia na Wabunge 50 halafu kuna wa rais na viti maalum kufikia idadi ya Wabunge 66+ Spika ni 67.
Hapa ndipo tunaachana! Zanzibar wana Wabunge kwasababu kuna structure. Tanganyika haijawa na structure hivyo si lazima kufanyia reference kile Wazanzibar walichoamua. Kuna Uwezekano Katiba ya Tanganyika ikaamua kuwa na Wabunge 100 au 500 ! Unapokosea wewe ni kudhani kwamba Tanganyika ni hii ya JMT! Kumbuka kwamba hakuna Katiba ya Tanganyika hivyo hatujui wangeamua nini. Ndio maana kukawa na kipindi cha mpito cha miaka 4 ili Tanganyika iwe na structureKwa hiyo Zanzibar Wabunge wa majimbo ni 50 kwao na kwenye Jamhuri wana Wabunge 50 pia wa Majimbo. Hivuo hivuo kama tungekuwa na Tanganyika basi tungekuwa na Wabunge 272 wa Tanganyika katika Serikali ya Bara. Hivi ndio nilikuwa nikielezea
Unasahau kwamba ni serikali ya shirikisho. Nikupe mfano, Marekani kuna watu milioni 300 na Seneta 100Na maadam Rasimu ya Warioba imetaja Bunge la Jamhuri kuwa na Wabunge 50 toka Bara na 20 toka Zanzibar halafu viti v5 nadhani vya viti maalum (walemavu n.k), ndio nikasema hilo halitapita wala halitawezekana. Sasa ndio umenifunua akili kwa nini Rasimu ilikataliwa wakati Bunge la Katiba likijadili Serikali 3. Hizi namba hazisomi kabisa..
Hapana! ni hivi viti 50 ni vya shirikisho kama vile tunavyokuwa na viti 9 vya EAC.Wee kwa akili ya Kawaida unadhani Viongozi wetu ambao wanapigania nafasi 272 za Ubunge wangekubali kuona Bunge litakuwa na viti 50 tu? Au Zanzibar kutoka viti 50 mpaka 20! Nanhuo Wabunge 50 Tanganyika na 20 Zanzibar mgawanyo wa Majimbo yake ungekuwaje?
Katina ya Tanganyika ingeamua kama vile ya Zanzibar ilivyoamua. Leo SMZ inaweza kupunguza viti au kuongeza na hakuna wa kuhoji. Tanganyika ikiwa na katiba yake itaamua pia idadi ya viti. Ni suala la KatibaTuna mikoa chini ya 50 na tuna wilaya zaidi ya 50! Je, tungeandika upya jata mikoa na wilaya zake? Au ndio tutaelekeo kwenye Serikali za Majimbo?
Mkuu nadhani unasahau kwamba Rasimu ya Warioba sio Katiba, ni Mapendekezo ya awali ya Katiba Mpya ambayo yalikwama. Kuna kukubalika ama kukataliwa kwa sura, ibara au hata vipengele vyake. Hii sio Katiba wala Hatujafika huko na hatutafika kweli, kama mkiendelea kulazimisha vitu visivyowezekana.Tuelewane kwamba mifano tuliyotoa ilikuwa na maana moja, kwamba, Bunge unaloliona sasa halitakuwa hivyo
Sababu ni kwamba kutakuwa na Bunge la Shirikisho lenye viti 75 tu. Viti hivyo vitatoka kwa serikali washirika
Serikali washirika zitaamua kwa mujibu wa katiba zao mabunge yao yatakuwa na ukubwa gani.
Kumbuka wa viti maalumu pia wanagawanywa kwa Zanzibar 1 usisahu hili
Viti maalumu ni wangapi?
Spika ana jimbo ni sehemu ya Wabunge namba si sahihi.
Hapa ndipo tunaachana! Zanzibar wana Wabunge kwasababu kuna structure. Tanganyika haijawa na structure hivyo si lazima kufanyia reference kile Wazanzibar walichoamua. Kuna Uwezekano Katiba ya Tanganyika ikaamua kuwa na Wabunge 100 au 500 ! Unapokosea wewe ni kudhani kwamba Tanganyika ni hii ya JMT! Kumbuka kwamba hakuna Katiba ya Tanganyika hivyo hatujui wangeamua nini. Ndio maana kukawa na kipindi cha mpito cha miaka 4 ili Tanganyika iwe na structure
Unasahau kwamba ni serikali ya shirikisho. Nikupe mfano, Marekani kuna watu milioni 300 na Seneta 100
Kila state inawakilishwa na seneta 2 ili kuhakikisha uwakilishi sawa. Hatuhitaji kuwa na Wabunge 400 kwasababu serikali ya shirikisho ina mambo 7 tu kwa mujibu wa Warioba.
Serikali za nchi Washirika ndizo zitakuwa na Wabunge wengie kutokana na mipango yao.
Hata Marekani serikali kuu ina majukumu muhimu ndio maana Wizara kama ya Elimu wanasema ifutwe
Kazi za Elimu ni za state.
Hapana! ni hivi viti 50 ni vya shirikisho kama vile tunavyokuwa na viti 9 vya EAC.
272 Wangekaa kama Watanganyika wapange kwamba ni sawa> Ni pungufu ?
Katina ya Tanganyika ingeamua kama vile ya Zanzibar ilivyoamua. Leo SMZ inaweza kupunguza viti au kuongeza na hakuna wa kuhoji. Tanganyika ikiwa na katiba yake itaamua pia idadi ya viti. Ni suala la Katiba
Exactly! ni framework . Kitu kilichokuwa dhahiri ni kwamba 2 tier government system is unsustainableMkuu nadhani unasahau kwamba Rasimu ya Warioba sio Katiba, ni Mapendekezo ya awali ya Katiba Mpya ambayo yalikwama. Kuna kukubalika ama kukataliwa kwa sura, ibara au hata vipengele vyake. Hiinsio Katiba wala Hatujafika huko na hatutsfika kweli mkiendelea kulazimisha vitu visivyowezekana.
Si kweli, nadhani hukufuatilia mchakato. Kilichokwamisha ni muundo wa Serikali 3 siyo contents za Serikali 3Nimesema Muundo wa Serikali 3 ulipigwa chini kutokana na Bunge litakuwa na viti 75 tu! nikasema hili haliwezekani na ndio sababu pendekezo hili la Serikali 3 haikufanikiwa. Viongozi hawatakubaliana nalo na hauakisi uhalisia kuwakilishinwa Wananchi mil.60 kwa Uchache kiasi hiki. Watu wenyewe sijui kama kweli unatujua?
Zanzibar wana structure kamili kwasababu kila jambo la muungano lina 'parallel' structure3. Umesema Zanzibar wana structure kwa sababu wana Serikali yao,
Ni makosa! na hapo ndipo shida inapoanzia. Huwezi kuwa Tanganyika na Tanzania at the same time! dude!unashindwa kuelewa kwamba Wabunge 272 ndio wawakilishi wa Bara na Serikali Kuu. Kwa hiyo Bunge hili Bara inapiga ndege wawili kwa jiwe moja.
Serikali ya Tanganyika haikwepeki kwa sasa, it's a matter of time. I can bet kama SSH hatakubali Tanganyika iwepo, muungano utafia mikononi mwake. In fact ni dhaifu sana kuliko wakati mwingineAsilimia 99 ya Bunge la Jamhuri ni maswala ya Bara aidha tuwe na Serikali yetu au hii ya Muungano. Technically, Bunge hili kwa Asilimia 99 ni mfumo wa kusimamia maswala ya Serikali ya Bara.
Ni hivi wabunge 50 ni wa Federal kama wale 9 wa EAC.5. Sielewi kwa nini bado hunielewi, nasema hivi kupendekeza Serikali ya Bara kuwakilishwa na Wabunge 50 tu Bungeni, pendekezo hili haliwezi kupita popote kwa sababu 2.
Ya kwanza Ubunge ni mradi wa Utajiri kwa viongozi, huwezi kuwaambia watoke 273 hadi 50 wakapitisha.
Narudia tena, Zanzibar inaweza kuamua idadi ya Wawakilishi katika BLW kwa kadri inavyotaka. Hakuna chombo au taasisi inayoweza kuzuia kwasababu BLW lipo kwa mujibu wa Katiba ya SMZ 1984 toleo 2010.Mwisho, Zanzibar hawaamui wao idadi ya Wabunge wa Kuchaguliwa. Majinbo nfio hutoa Wabunge wa Kuchaguliwa. Ukisema Zanzibar itakuwa na Wabunge 20 ina maana Zanzibar itakuwa na Majimbo 20 ya kupiga kura, Bara nako Wabunge = Majimbo 50. Hizo nyongeza za sijui nafasi za Rais na viti maalum hazina Upande. Wanaweza fhaguliwa toka upande wowote wa Muungano.
Exactly! ni framework . Kitu kilichokuwa dhahiri ni kwamba 2 tier government system is unsustainable
Si kweli, nadhani hukufuatilia mchakato. Kilichokwamisha ni muundo wa Serikali 3 siyo contents za Serikali 3
CCM Unguja hawakutaka Serikali 3. Vurugu zilianzia NEC CCM walipomtisha JK. Unakumbuka ' Zanzibar siyo nchi ya machotara" the rest is history
Zanzibar wana structure kamili kwasababu kila jambo la muungano lina 'parallel' structure
Ndio maana wanakataa miswada ya JMT hadi ipitie BLW
Hivi unajua hivi karibuni wameanzisha Jeshi lao. Nenda you tube uone
Ni makosa! na hapo ndipo shida inapoanzia. Huwezi kuwa Tanganyika na Tanzania at the same time! dude!
Hata kama utakubali ni la Tanganyika, kwanini Wabunge 77 wanaamua mambo ya Tanganyika
Kwanini Wabunge wa Zanzibar wafanye shughuli za kamati za Bunge maeneo ya Tanganyika
Serikali ya Tanganyika haikwepeki kwa sasa, it's a matter of time. I can bet kama SSH hatakubali Tanganyika iwepo, muungano utafia mikononi mwake. In fact ni dhaifu sana kuliko wakati mwingine
Ni hivi wabunge 50 ni wa Federal kama wale 9 wa EAC.
273 ni Watanganyika labda iniambia hawatakubali kwa muundo wa Tanganyika.
Ili uelewe na kutochanganya mambo: Serikali 3 ina Tanganyika, Zanzibar na Shirikisho(Federa)
Federal na mambo 7 tu ambayo ukiondoa Katiba na Msajili wa vyama yanabaki 5 ikiwemo Ulinzi, mambo ya ndani, mambo ya nje, Fedha na jingine moja. Serikali kuu inashughulika na mambo yenye common interest
Serikali za washirika zitakuwa na mamlaka zake na hizo ndizo zitaamua structure ya mabunge yao kutokana na uzito wa shughuli zao.
Narudia tena, Zanzibar inaweza kuamua idadi ya Wawakilishi katika BLW kwa kadri inavyotaka. Hakuna chombo au taasisi inayoweza kuzuia kwasababu BLW lipo kwa mujibu wa Katiba ya SMZ 1984 toleo 2010.
Tofautisha kati ya Wabunge na Wawakilishi.
Pili, Serikali kuu kwa mujibu wa Warioba itakuwa na Wabunge 75. 50 kutoka Bara na 25 kutoka visiwani kama sikosei. Uchaguzi wa hawa 50 utazingatia matakwa ya Katiba ya Tanganyika, na hao 25 wa Zanzibar utazingatia katiba ya SMZ. Kila upande utaamua njia za kupata Wabunge wake!
Mfano, EAC imetoa nafasi za kila nchi kupeleka Wabunge Arusha,, haikusema wapatikane vipi. Kila nchi ina utaratibu wake wa kupata hao 9. Tanzania tunawachagua kupitia Bunge , Kenya , Uganda na Rwanda wana utaratibu wao.
Usichanganye upatikanaji wa Wabunge wa serikali za shirikisho na Wabunge wa serikali kuu.
Daaah mimi naona.hatutaelewana. Kuna pahala nimesema ni Bara ndio walokataa Serikali 3? Kifupi mkuu wana CCM wote hawakubaliani na Serikali 3 kwa sababu ni harakati za wafuasi wa Hizbu (ZNP na ZPPP) kutaka Serikali ya Zanzibar huru. Walipewa nusu mkate sasa wanadai mkate mzima.Exactly! ni framework . Kitu kilichokuwa dhahiri ni kwamba 2 tier government system is unsustainable
Si kweli, nadhani hukufuatilia mchakato. Kilichokwamisha ni muundo wa Serikali 3 siyo contents za Serikali 3
CCM Unguja hawakutaka Serikali 3. Vurugu zilianzia NEC CCM walipomtisha JK. Unakumbuka ' Zanzibar siyo nchi ya machotara" the rest is history
Zanzibar wana structure kamili kwasababu kila jambo la muungano lina 'parallel' structure
Ndio maana wanakataa miswada ya JMT hadi ipitie BLW
Hivi unajua hivi karibuni wameanzisha Jeshi lao. Nenda you tube uone
Ni makosa! na hapo ndipo shida inapoanzia. Huwezi kuwa Tanganyika na Tanzania at the same time! dude!
Hata kama utakubali ni la Tanganyika, kwanini Wabunge 77 wanaamua mambo ya Tanganyika
Kwanini Wabunge wa Zanzibar wafanye shughuli za kamati za Bunge maeneo ya Tanganyika.
Wabunge wa Zanzibar wana athiri kura ndani ya Bunge la Tanganyika
Serikali ya Tanganyika haikwepeki kwa sasa, it's a matter of time. I can bet kama SSH hatakubali Tanganyika iwepo, muungano utafia mikononi mwake. In fact ni dhaifu sana kuliko wakati mwingine
Ni hivi wabunge 50 ni wa Federal kama wale 9 wa EAC.
273 ni Watanganyika labda iniambia hawatakubali kwa muundo wa Tanganyika.
Ili uelewe na kutochanganya mambo: Serikali 3 ina Tanganyika, Zanzibar na Shirikisho(Federal)
Federal ina mambo 7 tu ambayo ukiondoa Katiba na Msajili wa vyama yanabaki 5 ikiwemo Ulinzi, mambo ya ndani, mambo ya nje, Fedha na jingine moja. Serikali kuu inashughulika na mambo yenye common interest
Serikali za washirika zitakuwa na mamlaka zake na hizo ndizo zitaamua structure ya mabunge yao kutokana na uzito wa shughuli zao.
Narudia tena, Zanzibar inaweza kuamua idadi ya Wawakilishi katika BLW kwa kadri inavyotaka. Hakuna chombo au taasisi inayoweza kuzuia kwasababu BLW lipo kwa mujibu wa Katiba ya SMZ 1984 toleo 2010.
Tofautisha kati ya Wabunge na Wawakilishi.
Pili, Serikali kuu kwa mujibu wa Warioba itakuwa na Wabunge 75. 50 kutoka Bara na 25 kutoka visiwani kama sikosei. Uchaguzi wa hawa 50 utazingatia matakwa ya Katiba ya Tanganyika, na hao 25 wa Zanzibar utazingatia katiba ya SMZ. Kila upande utaamua njia za kupata Wabunge wake!
Mfano, EAC imetoa nafasi za kila nchi kupeleka Wabunge Arusha,, haikusema wapatikane vipi. Kila nchi ina utaratibu wake wa kupata hao 9. Tanzania tunawachagua kupitia Bunge , Kenya , Uganda na Rwanda wana utaratibu wao.
Usichanganye upatikanaji wa Wabunge wa serikali za shirikisho na Wabunge wa serikali kuu.
Mkuu , unamkumbuka Nicodemus Banduka! Requiestcat in pace ni miongoni mwa Waanzilishi 20 wa CCM waliokaa Motel Agip. Kama sitakosea kadi yake ya CCM ni number 09.Kifupi Mkuu wangu sitopenda kuendelea na Maswala ya Muungano kwa sababu nyie vijana wengi hamuijui Historia yetu. Hata nikijaribu vipi bado hamtanielewa.
Kuna historia nyingine zaidi ya hii mliotuwekea kwenye mitaala ya shule?..Kifupi Mkuu wangu sitopenda kuendelea na Maswala ya Muungano kwa sababu nyie vijana wengi hamuijui Historia yetu. Hata nikijaribu vipi bado hamtanielewa
Sujakuelewa, inahusianaje?Mkuu , unamkumbuka Nicodemus Banduka! Requiestcat in pace ni miongoni mwa Waanzilishi 20 wa CCM waliokaa Motel Agip. Kama sitakosea kadi yake ya CCM ni number 09.
Ahsante
Aaah mbona mmefichwa mengi sana! Imefika mpaka mnajifunza kwa Mohamed Said. Wa kulaumiwa ni Waasisi wetu kina Mwalimu, Karume na hata kina Haruub, Shivji, Warioba na wengine wengi tu hawakuandika true historia badala yake tunapigwa historia za kiimani kama Wayahudi.Kuna historia nyingine zaidi ya hii mliotuwekea kwenye mitaala ya shule?..
Leo kidogo nimebanwa na majukumu, ila nitakujibu vizuri baadae. Maswala ta Muungano ukiyatazama vizuri ni KERO tu zinatusumbua hakuna jambo kubwa la Kiutendaji zaidi ya Uzanzibar na Utanganyika. Kero huleta karaha tofauti kabisa na Utawala bora.Mkandara suala la Muungano sijui tunaliachaje kwa asili ya mada husika
Kama ikiwezekana kurekebisha sheria ikawepo ''checks and balances'' je, hiyo inatosha kumaliza tatizo la Muungano, na kama ndivyo ni kwa njia zipi. Na je muundo wa sasa wa Muungano ni sustainable?
Ok, nirudi kwenye Swali lako la Muundo wa Serikali za Muungano. Sio kwa asilimia 100 sustainable, Serikali Moja ingekuwa Sustanable lakini ndio haikuwa japokuwa Karume alitaka tuwe na nchi moja.Mkandara suala la Muungano sijui tunaliachaje kwa asili ya mada husika
Kama ikiwezekana kurekebisha sheria ikawepo ''checks and balances'' je, hiyo inatosha kumaliza tatizo la Muungano, na kama ndivyo ni kwa njia zipi. Na je muundo wa sasa wa Muungano ni sustainable?
Na Dola hiyo inaongozwa na nani? Au nani ni muhimili wa Dola??Sio Serikali ni Dola inaundwa na mihimili mitatu ambayo ni.
1. Serikali.
2. Bunge
3. Mahakama
Shukran, unajua watu bado hawaelewi Separation of Power kama hata rais hana mamlaka yoyote juu ya Katiba. Tazama wanaojua walivyoweka mihimili yao chini ya Katiba. Kwao neno Serikali ni Katiba ya nchi.Na Dola hiyo inaongozwa na nani? Au nani ni muhimili wa Dola??