Huwezi kuwa na Bunge la watu 75 ikiwa tuna Majimbo 314! Lazima kila jimbo lipate mwakilishi wake katika Bunge la Jamhuri na Bunge la Serikali yao. Ndio maana unaona Zanzibar ina Wabunge wa Serikali yao na Wabunge wa Jamhuri wakila hela tu miaka yote.Mbona warioba alipropose wabunge 75 nchi nzima. 50 bara, 25 zanzibar. Hakutokuwa na viti maalum.
Ikumbukwe kwa sasa zanzibar wana baraza la wawakilishi ila bado linapeleka wabunge dodoma. So kwa zanzibar dual system ni sawq ila ikija Tanganyika ndio issue ya gharama inatajwa!!
Muungano lingekua na 75 tu maana si linakutana kujadili mambo ya muungano tu. Sasa kama zanzibar inaleta wabunge 50 huku bara ukiweka na viti maalum wanaotoka zanzibar na bara zaidi ya 100 utagundua tu hiyo 75 inakua offset na viti maalum vitakavyofutwa na hivyo viti vya zanzibar vinavyopungua kutoka 50 hadi 25.Huwezi kuwa na Bunge la watu 75 ikiwa tuna Majimbo 314! Lazima kila jimbo lipate mwakilishi wake katika Bunge la Jamhuri na Bunge la Serikali yao.
Lakini mkuu unasahau hta nafasi za DC zilikua zinafutwa na hesabu zilipigwa na humphrey polepole pale Nkrumah Hall kwa msaada wa BOT na hakukua na extra cost.Na hata huo Umoja wa Kitaifa Zanzibar ni viongozi kugombania nafasi chache zilizopo wakaunda Umoja huu kukidhi ambitins za watu lakini haiwasaidii chochote wananchi wa Wazanzibar zaidi ya kutuliza Uhasama wao wa Kisiasa.
Majimbo siku hizi wanapeana kama zawadi kila siku yaongezwa na hakuna cha maanaHuwezi kuwa na Bunge la watu 75 ikiwa tuna Majimbo 314! Lazima kila jimbo lipate mwakilishi wake katika Bunge la Jamhuri na Bunge la Serikali yao. Ndio maana unaona Zanzibar ina Wabunge wa Serikali yao na Wabunge wa Jamhuri wakila hela tu miaka yote.
Na hata huo Umoja wa Kitaifa Zanzibar ni viongozi kugombania nafasi chache zilizopo wakaunda Umoja huu kukidhi ambitions za watu wabinafsi lakini haiwasaidii chochote wananchi wa Wazanzibar zaidi ya kutuliza Uhasama wao wa Kisiasa. Matajiri Wakubwa Zanzibar siku hizi ni Viongozi wao.
Hapana mkuu nadhani mnachanganya Mamlaka ya Taasisi na Madaraka ya mtu. Isitoshe report ya tume sio maneno ya Warioba bali ni Maoni ya wananchi.l waloyakusanya.Muungano lingekua na 75 tu maana si linakutana kujadili mambo ya muungano tu. Sasa kama zanzibar inaleta wabunge 50 huku bara ukiweka na viti maalum wanaotoka zanzibar na bara zaidi ya 100 utagundua tu hiyo 75 inakua offset na viti maalum vitakavyofutwa na hivyo viti vya zanzibar vinavyopungua kutoka 50 hadi 25.
Usiseme haiwezekani maana bunge hilo litakua specifically kujadili mambo ya muungano tu so halina mambo direct sana ya grassroots kulinganisha na la tanganyika. Itakua equivalent ya bunge la EAC tu
Yes!, hili sio tuu nimelisema wazi humu bila kumungunya maneno!, Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?, bali pia nikaliandikia makala ya gazetiniIna maana tuna muhimili mmoja tu, hiyo mingine ni vivuli vya muhimili mkuu.
Hii figure ya 314 unaitoa wapi? Walishasema NEC ingepunguza majimbo kubakia 75 pekee na wabunge viti maalum pamoja na DCs kufutwa. So ondoa hii hypothetical figure ya watu 314.Kwa hiyo tukitaka Serikali 3, lazima Bunge la Jamhuri liwe na Wabunge 314 sawa na Serikali uloundwa. Bunge haliwezi kuzungumzia swala lolote la Kitaifa pasipo mwakilishi wa jWananchi kutoka jimbo hata moja. Basi huyo hatakuwa rais wa Jamhuri ya Tanzania bali rais wa Kifalme.
Of course wengi wanataka serikali moja ila sasa zanzibar hawataki na wao ni autonomous wakati Tanganyika ishamezwa na muungano. So kama hawataki 1 basi serikali 3 ila hizi mbili ni complicated sana unless zanzibar iwe jimbo tu kma Hong-Kong au Macau.Nimalizie kusema hivi, kama nia na dhamira ni Kuuvunja Muungano basi chukueni Serikali 3. Sio kila Maoni ya Wananchi ndio yawe suluhusho au mwelekeo wetu Kitaifa
Hawakukataa walikua wametishwa sana, mimi nikiwa mdogo kule kijijini kwetu mpaka makanisani tulikua tunaambiwa vyama vya upinzani vikishika nchi tutaingia vitani, makanisa yatafugiwa mbuzi n.k tuliogopeshwa mpaka nakumbuka tumewahi kuomba aisee kama lisaa hivi wapinzani washindwe, watu mpaka wanalia kabisa. Hofu ilikua kubwa kuliko ya corona, so kwa mazingira hayo lazima tu wananchi wangekataa upinzani.Wananchi walikataa kuundwa Vyama vingi kwa Aslimia 80, lakini Mwalimu alichagua asilimia 20 na tukaunda Vyama vingi, leo tunazungumzia Demokrasia.
Now you talkin, kwa hiyo rasimu ilipendekeza Majimbo yote Bara yatakuwa 75? Ok, nambie nini hasa dhamira ya kupunguza Majimbo?Hii figure ya 314 unaitoa wapi? Walishasema NEC ingepunguza majimbo kubakia 75 pekee na wabunge viti maalum pamoja na DCs kufutwa. So ondoa hii hypothetical figure ya watu 314.
Pia sijaelewa unaposema hakuna wawakilishi? Kwani nchi haiwezi kuwa na wabunge 75 pekee??
Gharama zinatoka wapi? Wakati walikua wanapunguza positions na departments zinazo overlap. Mfano sahivi mbona matumizi mfano gharama za serikali kama mishahara, posho, magari, safari yaani recurring budget zinapanda kila mwaka ilihali ni serikali mbili? Maana yake hakuna correlation kati ya idadi ya serikali na gharama kuongezeka au kupungua.Tutaziona gharana zinazobebwa na Bara kama mzigo tusioweza kuubeba! Uhasama utashika kasi na haitaweza kutokea tena Mzanzibar kuwa rais wa Jamhuri kwa sababu hesabu yetu kubwa na hatutajali anatika Chama gani cha Chama cha Siasa
Hii haiwezekani mpka katiba mpya iwepo na automatically itapunguza mamlaka ya Rais.Solution ya yote haya ni Kuyagawa mamlaka baina ya Mihimili yetu (Separation of Power) iwe Huru kimamlaka ili wasimamiane "Check and Balance" ndio ombwe kubwa tulikuwa nalo sasa hivi. Hope unanielewa kwa undani nachozungumzia
Nimetoa mfano kuwa wananchi wengi walitaka muungano wa mkataba ila mbona Warioba aliweka serikali 3 na sio suala la mkataba? Mbona issue ya serikali za majimbo lilipigwa chini? Maana yake maoni yote walichukua ila walichakata na mengine kuyatoa na baadhi kubakiza..
Sasa ukianza kuuliza Wananchi kuna watakao kataa na wakisema hapana ukalazimisha itaingia chuki. Kumbuka Bunge la Katiba lilivunjika kwa sababu ya ambi mawili tu muhimu. 1. Muundo wa Serikali 3 na 2. Kumpunguzia rais madaraka.
[/COLOR]
Mkuu tusibishane kwa sababu unataka kubishana wakati tujadili kwa lengo la kufahamishana. Pale usiponielewa uliza nami nisipokuelewa nitakuuliza. Hakuna sababu ya kupandisha.Gharama zinatoka wapi? Wakati walikua wanapunguza positions na departments zinazo overlap. Mfano sahivi mbona matumizi mfano gharama za serikali kama mishahara, posho, magari, safari yaani recurring budget zinapanda kila mwaka ilihali ni serikali mbili? Maana yake hakuna correlation kati ya idadi ya serikali na gharama kuongezeka au kupungua.
Yaani watanganyika wasivunje muungani sahivi ambapo tunagharamikia muungano kwa 95% alafu tuje kulalamika baadae? Si itakua utoto. Hayo malalamiko yapo tayari maana tunaona mfano hta mkopo wanapewa mgao ila kulipa ni serikali ya muungano kupitia kutukamua wabara ila mbona hatujavunja muungano.
My point is Muungano utavunjika kwa sababu zingine kma kero za muungano, zanzibar kuelemea bara, kukosekana usawa mfano kumiliki ardhi zanzibar etc na wala hazihusiani na ikiongezwa serikali ya 3.
Rasimu ya warioba ingeleta tume huru so wananchi wangechagua kiongozi makini na kama angefeli wameweka namna ya wananchi kumfanyia impeachment mbunge na sio kusubiri miaka 5 so hofu ya kuwa impeached na kushindwa uchaguzi unaofuata ingewafanya wabunge kusimama na wananchi bila hofu ya bunge kuvunjwa au kuvuliwa uanachama maana anabaki kama mgombea binafsi.Bila shaka utasema kupunguza idadi ya Wabunge na gharama zake! Ufanisi je? Ikiea leo hii hawa Wabunge 314 wa Bunge hili wanachemsha wanapiga domo tu, fikiria Wabunge 75 ndani ya Bunge wakijadili maswala ya Kitaifa ambao bado watamtegemea rais kufikisha maendeleo maeneo ambayo haya hawayajali.
[/COLOR]
Ndugu yagu huwezi kubadilisha muundo wa Serikali pasipo kubadilisha ndaninya Katiba iliyopo. Ndani ya Katiba hii ibara ya 4 imeeleza shughuli za Mihimili hiyo na kama nia ni kuifanya iwe Huru ina maana Rais hatakuwa na uwezo wa kuvunja Bunge Unless kuna sababu na vigezo ambavyo vitamruhusu rais kulivunja Bunge.Hii haiwezekani mpka katiba mpya iwepo na automatically itapunguza mamlaka ya Rais.
Mfano huwezi sema Bunge liwe huru ilihali kwenye katiba rais ana mamlaka ya kuvunja bunge kama likipinga bajeti au kusema huwezi kubaki bungeni bila chama maana yake ukipinga serikali wakikuvua uanachama sio mbunge tena maana hatuna wagombea binafsi. Maana yake hakuna bunge huru, sasa rasimu ya warioba iliondoa hizo clauses.
Pia Rais kuteua majaji moja kwa moja kunaondoa uhuru wa mahakama sasa ili kutenganisha mihimili lazima katiba mpya ili ipunguze hizo mamlaka za rais kuingilia mahakama. Imagine mpaka bajeti yao wanamlilia rais unategemea itakuaje? Ila katiba mpya inaweza demarcate authority, independence and accountability of the judiciary arm.
Hapa ni mutual exclusive, huwezi kuwa na mihimili huru na wakati huo huo Rais awe na mamlaka makubwa!!
Mkuu Mkandara with all due respect kuna eneo hulifahamu kabisa au unafanya makusudi kupotoshaHuwezi kuwa na Bunge la watu 75 ikiwa tuna Majimbo 314! Lazima kila jimbo lipate mwakilishi wake katika Bunge la Jamhuri na Bunge la Serikali yao. Ndio maana unaona Zanzibar ina Wabunge wa Serikali yao na Wabunge wa Jamhuri wakila hela tu miaka yote.
Mkandara haelewi suala la gharama. Kwasasa hivi kila Wizara na idara hadi jeshi zina mbadala Zanzibar.Gharama zinatoka wapi? Wakati walikua wanapunguza positions na departments zinazo overlap. Mfano sahivi mbona matumizi mfano gharama za serikali kama mishahara, posho, magari, safari yaani recurring budget zinapanda kila mwaka ilihali ni serikali mbili? Maana yake hakuna correlation kati ya idadi ya serikali na gharama kuongezeka au kupungua.
Yaani Wananchi wenye katiba na nchi kuna maeneo hawatakiwi kujadili, Kumbe Kuna Wananchi na Wenye-nchi ?Narudia kusema rasimu ya Warioba ilikuwa nzuri baadhi ya maeneo lakini iligusa pia maeneo ambayo hatukutakiwa Wananchi kuyajadili.
Muungano hauna faida yoyote kama wananchi hawautakiHapana mkuu nadhani mnachanganya Mamlaka ya Taasisi na Madaraka ya mtu. Isitoshe report ya tume sio maneno ya Warioba bali ni Maoni ya wananchi.l waloyakusanya.
Yeye binafsi alitaka Serikali 1 na ndio maana tulipoanza Muungano, tulikuwa na Mambo 11 ya Muungano kisha yakafika 22 kama sikosei ili kuelekea Serikali 1 na tuki deal na chngamoto za Utaifa moja baada ya nyingine. Kaitafute yale mahojiano yake na Jenerali akizungunzia jinsi Unija wa Kitafa wa Zanzibar walivyokiuka Katiba ya JMT.
Ok, ni hivi - Rais wa Jamhuri ana Madaraka nchi nzima iwe kule mnajadili Elimu, lakini fedha itatoka Janhuri. Bunge la Jamhuri litakuwa na Bajeti ya Taifa kuhusiana na Elimu au jambo jingine lolote kulingana na ahadi za Chama tawala. Tofauti ni moja tu, Utekelezaji wa shughuli za Elimu au jambo jingine ndio unabakia kwenye mamlaka yenu na Mambo yasiyokuwa ya Muungano. Kwanhiyo mnapikea fedha za Elimu, nyie ndio mnapanga hizi zitajenge nini kulingana na mahitaki ya kwenu. Hampangiwi uendeshaji wala sheria na Serikali ya Jamhuri.
Kwa hiyo tukitaka Serikali 3, lazima Bunge la Jamhuri liwe na Wabunge 314 sawa na Serikali uloundwa. Bunge haliwezi kuzungumzia swala lolote la Kitaifa pasipo mwakilishi wa jWananchi kutoka jimbo hata moja. Basi huyo hatakuwa rais wa Jamhuri ya Tanzania bali rais wa Kifalme.
Chukulia Bunge Marekani au hata Canada japokuwa wana Mambo yasiyokuwa ya Muungano lakini kila jimbo lina Mwakilishi wake Bunge la federali. Na kule kwao kuna mbunge vile vilevile wa jimbo katika Bunge lao.
Nimalizie kusema hivi, kama nia na dhamira ni Kuuvunja Muungano basi chukueni Serikali 3. Sio kila Maoni ya Wananchi ndio yawe suluhusho au mwelekeo wetu Kitaifa. Wananchi walikataa kuundwa Vyama vingi kwa Aslimia 80, lakini Mwalimu alichagua asilimia 20 na tukaunda Vyama vingi, leo tunazungumzia Demokrasia.
Siku tutakayo unda Serikali 3, ndio Siku tutajuana huyu Mtanganyika yule Mzanzibar. Tutawafukuza Wazanzibar wote kwa sababu Sheria yao Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.
Tutaziona gharana zinazobebwa na Bara kama mzigo tusioweza kuubeba! Uhasama utashika kasi na haitaweza kutokea tena Mzanzibar kuwa rais wa Jamhuri kwa sababu hesabu yetu kubwa na hatutajali anatika Chama gani cha Chama cha Siasa.
Kutakuwa na Wazanzibar na Wazanzibara, Wapemba na Waunguja. Watanganyika nao wataanza kujitazama nani mzigo? Huyu asili yake wapi? Mtwara watadai Gas yao iwanufaishe wao, Kanda ya ziwa nao Dhahabu yao kea nini Dodoma inajengeka kuliko Kahama! Yote haya yahahitaji cheche moja tu iwashe. Serikali 3.
Anzisheni - Mtanikumbuka
Maasalaam..
Naomba kukuuliza, Ni faida zipi za Muungano unazozitaka? Tuanzie hapa...Muungano hauna faida yoyote kama wananchi hawautakiFaida