Hackintosh OSX ndani ya PC


 
let me return back to the game, i missed this for a while....
 

Kaka, nimedownload iso ya iatkos S3 nikaiburn kama ulivyomuelekeza mtu hapo juu. Je, kuna mambo mengine muhimu ya kufanya baada ya kuburn, nimeshafanya settings kwenye bios. Nina empty hard disk kwa ajili ya installation. Maana nilisoma kwenye site moja kuwa kuna mambo ya bootloader. Mpaka nimechanganyikiwa.
Natanguliza shukrani.
 

Ainisha specs za computer yako..
 
Ainisha specs za computer yako..

Nina Dell Optiplex 745 Desktop, ndiyo nimeamua kuitumia.
Ina 3GB RAM, 2.2GHZ Core2Duo processor.
Nimeandaa empty 250GB HDD.
Nimeandaa 1 DVD ambayo ndiyo in iatkos S3 na 1CD yenye iBoot. kwa ajili ya kuinitialize Installatio.
Halafu ndugu Zote nimeburn kwa kutumia TransMac kuwa inaread Mac language. Halafu ndugu h120 nakuomba unipe maelezo kidogo kuhusu kexts.
 
Last edited by a moderator:

Vizuri, ila kwa iAtkos s3 hauitaji iboot, kwasababu walishaweka bootloader kwenye hyo iatkos, unaweza ukajaribu utakapokwama utasema, wakati unaanza tumia verbose mode, simply andika -v itakusaidia endapo itakwama utajua inakwamia wapi. na kext ni driver packages, ni drivers za mac osx.
 

Nashukuru sana mkuu. Ninatakiwa ku-type hiyo -v kuingia verbose mode nikiwa installation screen, bootloader au section gani? Samahani kwa maswali mengi, lakini wewe ndiyo mtaalamu kwa upande huo.
Na hizo kernel extensions naweza kupata wapi full package? Na pia, after installation nitawezaje kudual boot na windows? au nitumie Third party software kwenye windows?
 


Bootloader screen ya iatkos s3 inamwonekano kama huu una type hapo hapo na unachotype utakiona.

kernel extensions zipo loaded kwenye iatkos, kuhusu dual booting ni rahisi sana haiumizi kichwa sana malizana kwanza na hiyo ukifanikiwa kumaliza huko tutaenda kwenye dual boot.
 

Nashukuru sana ndugu, ngoja nifanye installation. Nitakupa feedback hivi karibuni..
 

Nashukuru kwa guide yako, installation inamaliza. Lakini nikishapress restart, the pc hangs on boot logo. Naomba uniambie tatizo ni nini. Picha ya screen nimeiattach.

 
 
 
tatizo la hii hackintosh ni optimization yake na some softwares...
Mfano kwenye mashine yangu

Intel i7 4790K
GSkills RAM 8GB
NVIDIA GTX970
SSD 256GB na HDD 1TB

na specs zote hizo nikirun game kama Crysis 3 kwenye ultra frames-per-second zinashuka kama 20 compared to windows... Hawa jamaa hawaja optimize kabisa drivers za processor na GPU..

Labda some native softwares kama za productivity ndo mtu anaweza chomoka, ila kwingine kote mziki tu....
 
 
 
 
 
 
Last edited by a moderator:
Hii post nimeikubali asee.. Na mm ntafanya hivi. Kwa ajili tu ya kutumia tools za graphics design. Safi sana alopost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…