Mie nina Nokia X3 ila hapa hata celewi mnaongelea nin plz mtufafanulie mana imekaa kitaalam zaid.
Since umeanza ku2mia hyo C3,ushawai kuintall application ukaambiwa 'Certificate error'?
Mie nina Nokia X3 ila hapa hata celewi mnaongelea nin plz mtufafanulie mana imekaa kitaalam zaid.
ushauri wa bureeee
Tafuta Core player ureplace smart movie,then utaniambia whch is the best. Ucpuuzie,am serious
Aksante sana mtaalam ila na wewe unawapa thanks zao huko unakotoa maujuzi????????? inaonekana unapenda thanks ila wewe ni mchoyo wa hizo thanks. Au mwalimu hatakiwi kutoa thanks kwa mwanafunzi...........
Dah..USISAHAU KUNIPA THANKS ...MAANA HUWA NAFURAHI NA KUJUA KUWA WATU WANKUBALI EFFORT ZANGU
cheers JF!!!!!
dah kama umeniwahi mkuu core player ni safi sana yaani ni universal ka vlc nimeitumia cju nyingi sana yaani unahamisha movie kwenye pc kama ilivo bila kuconvert wala nini na inaplay with 23 fps mwsnzi hadi mwisho ni nzur kwa kweli.
method rahic bila hata kuhack kimeo chako ni kugenerate key kwenye hii site hapa s60 Certificate Key | Generate your own Certificate and Key | Self Sign apps and games then check kesho yake utakuta key yako hapo na cert. Then unadowload free signer unakuanunasign apps zako mwenyewe ni kazi rahic sana.
aksante sana mtaalam ila na wewe unawapa thanks zao huko unakotoa maujuzi????????? Inaonekana unapenda thanks ila wewe ni mchoyo wa hizo thanks. Au mwalimu hatakiwi kutoa thanks kwa mwanafunzi
we endelea kushusha mambo bila kukata tamaa wengine hatupendi kuwasifia watu japo tunaona kazi wanayofanya inastahili pongezi.
teh teh teh cheeers