Hacking any nokia smartphone(latest hack) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hacking any nokia smartphone(latest hack)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, May 26, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Breaking all NOKIA Symbian smartphones  [​IMG][​IMG]


  The author of this miracle: stas686, an improvement from CODeRUS.
  The newest way to hack NOKIA Symbian with the new firmware without a PC and reflashing.

  Installation (the file on the main link):
  1. Set CertUpdater.sisx
  2. Sign CertHack.sis personal certificate[Register yourself get cert from here]
  3. Set-signed CertHack. If you have any problems with the installation (error in the certificate) try CertHack_2 (with a second file in the application menu icon appears, you click on it and wait a minute).
  4. Now you can sign any application certificate Leftup (archive Leftup.zip) and install it. To sign the best smartphone software FreeSignerDownload .

  Below is attach the certificate signing Leftup core applications, which require all:
  1. X-Plore AllfilesDownload . Full read all folders. Write only to the folder private.
  2. RomPatcher + 2.6Download . For all the smartphone apart from S ^ 3. Install and run the patcher. Open4all gives access to all system folders, installserver cancels certificates for applications.
  3. FileBrowser S ^ 3Download . File browser that has full write permissions to all folders. Only for S ^ 3.

  With access to system folders are advised to instalserver your smartphone and copy it to the folder C: / sys / bin. After that, all applications will be placed without a signature.
  Installserver for 9.1-9.2 Size: 190 KBDownload
  Installserver for 9.3-9.4 Size: 47 KBDownload
  Installserver for S ^ 3 Size: 51 KBDownload


  Root Certificate hack
  Author: stas686

  1. Install CertUpdater.sisx
  2. Sign CertHack.sis using your own Devcert
  3. Install signed CertHack twice (!!!)
  -. Phone now hacked!

  You can sign and install any package using Leftup certificate (see Leftup.zip folder)

  CertUpdater/CertHack/
  Download (30 Kb)

  Wadau haya kama una symbian phone ambayo kila ukitaka kuinstall software inakuambia certificate error au unsigned application basi hapa ndio mwisho wa matatizo yote

  aliyeshindwa kufatisha hizo instruction aseme

   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa mtaalamu wetu wa uchakachuzi.....bahati mbaya natumia BB OS.
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Kaka pole sana!!!

  HAMIAAAAA SYMBIAN na uwe HURU after simple Hacks

  hizo OS zingine hazichakachuliki sasa nini maana ya simu kama hata simple software ukijaribu kuinstall inakwambia hadi ununue?!
  halafu unasema simu ni yako,

  Ukinunua simuiwe umenunua na freedom 17 capability ya kuharibu au kujenga. install anything u want and not buying and buying..
   
 5. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  nice post mkuu, ni vizuri kuwafahamu symbianisers wenzangu,,,sema nataka kujua kama unajua hack za Symbian platfom UIQ3, natumia Capswitch kuAccess system files na pia Sisinstaller kuInstal signed na unsigned applications...kama kuna hack ya uiq3 tafadhali post tutorial..
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Brakelyn

  KAKA nipe specification ya symbian yako nikupe UHURU!!

  Anyway Symbian version 3 na kuendelea tumia HELLOOX latest 2.10 ila be 4 that inabidi ujisajiri na OPDA International Forum - OPDA.HK ili upate .key na .Cert yako binafsi with full 17 capability!!
  after that sign it with free signer freesigner.v1.01_signed.zip download - Plunder
  halafu ukisha isign hiyo install it na tulia agiza hata bia moja na relax

  yenyewe itafanya kila kitu hadi hiyo Capswitch( unatumia njia ya zamani mnoo bro)

  then Upo huru install anything u want brooo!!!
   
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Nimetumia Hello0X v2.03 na imekubali, nipo na Symbian OS v9.1 UIQ3 version ya zamani kidogo,,,much thanx mkuu
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mkuu simu yangu ya Nokia c3 ilikuwa inatumika Australia na kampuni ya Orange iko locked unaweza ukanisaidaia nikaifungua ?
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, Symbian is on its way out {refer to Microsoft - Nokia alliance and the dropping out of MeeGo}. Ipe mwaka mmoja na nusu hadi mitatu hivi tu, then itabakia na kuendelea kuwepo kama vile Sega na Atari zilivyobakia; i.e. kwa ma-fanatics na kwenye nyumba za maonesho!!

  Having said that, I still have strong admiration for Symbian fones and in my opinion, E72 is an overall best symbian smartphone ever made.

  Katika mambo ya hacking, rooting na jailbreaking, nadhani Android platform presents a more versatile and configurable platform than any of the other mainstream handheld OSes. BB ndiyo kabisaa!!
   
 10. r

  ruphem2003 Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka,minatumia Nokia n900,nahitaji software za kusomea documents kama word na exce,ntaipataje hizo software for free...
   
 11. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Dah!!! Hadi raha mkuu upo HURU kuriko Uhuru wa TANZANIA

  Sasa hapo tumia masoftware ya kufa mtu ngoja nikupe my top software kwenye msymbian wangu!!!!
  1)JOIKU SPOT
  Dah bro i cant live my life without it...simply unageuza simu yako kuwa HOT SPOT ya kurusha wireless mtaa mzimaaa
  2)Photobook
  Haya forget the cripy looking Nokia gallary tumia hii ni kama unatumia Ubuntu vile kubrows Pictures
  3)Smart setting..dah hii ni balaaaaa unafanya simu iwe yako na si ya nokia. ua dissable key lock ya nokia na unatupia combination zako ambazo hata mtu akiiba mh labda akauze spea
  4)Opera Mobile NOT min....symbian more Power to use full PC in ur Nokia i dont know y pipo use mini ndio mana hata akili zao bado zipo mini
  5)Smart Movie.....kaka inshort hii ni KAMA VLC ya pc cheza hadi Dvd,mpeg, yaaaan chochote ina code zote za multmedia yaaaani hadi ambazo Window haina
  6)TTPOD!!--bro kama hujui hii wewe si mjuaji...wachina Waache wawe na vimacho vidogo ili kuwapa space ubongo wao uwe mkubwa....yaani hapa symply change ur symbian into Music player with Lyrics, Picture auto download...unasikiliza nyimbo huku unasoma lyrics..tena zinadownload zenyeweeee
  6)LCG JUKEBOX....yeah not my favourity any more after ttpod i break our relationship

  bro zipo nyingi mno za ukweli itabidi nitoe POST kwa wadau wengine wote daha hizo sita bado ninazo kumi na nitatoa na LINK zake na zote ni cracked so full freeeeeeeeeeeeeedommmmmmmmmm
   
 12. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  kama hiyo hadi kwa PC nenda kwa fundi tu...hapo kariakoo
   
 13. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu jongoo Hatupwi vibaya na wabongo hatupendi kusoma vitu hadi mwisho

  kweli nokia wame patner na microsoft ila ina maana kuwa sasa symbian itakuwa HURU ZAIDI sababu nokia walikuwa wameshikiria wao tu na hawakuachia code kwa producer wengine so watakacho fanya watauza hizo codes na after few yeras usishangae kuona simu za mchina zina symbian OS maana nokia wakiachia tu basi itakuwa inapatikana kama njugu..thats wat i know so Bad but more FREEDOM anyway we will have a way anyway..na si kwamba ndio mwisho wa simu za symbian..ila ni kuongeza uwezo zaidi nokia nio poa zaidi!! lol bro
   
 14. m

  mbweta JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mie nina Nokia X3 ila hapa hata celewi mnaongelea nin plz mtufafanulie mana imekaa kitaalam zaid.
   
 15. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  i mean jongoo hatupwi na mti wake!!! na vibaya zaidi ni kwamba wabongo hatusomi habari hadi mwisho tunasoma headlines tu
   
 16. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  ok kaka kwanza hongera kwa kumiriki simu ya ukwelii

  haya, nadhani umeshajaribu kudownload theme kutoka mtandaoni na ulipo jaribu kui install kwenye simu yako ikakupa msg kati ya hizi
  1)certificate error contact supplier
  2)Application not signed contact vendor

  Huo ni UHURU ambao nokia wamekunyima na sababu zao ni nzuri tu kuwa Hawajathibitisha hiyo software na pengine ni virus japo wewe unajua kuwa sio virus, hatuwalaumu kwa hilo ni wazo zuri sana toka nokia ndio maana hadi sasa hakuna virusi wanaweza haribu simu zasymbian v3 na kuendelea

  sasa kutoa hicho kinachokuzuia inakupasa uihack simu yako au kama hutaki kuhack uwe una sign kila unachotaka kuinstall kwenye simu ambao ni kero sasa.

  so kusolve kila kitu nakuletea kwako software inaitwa HELOOX ambayo ni few clicks na unakuwa umewaacha uchi wataalamu wote wa NOKIA

  so fatisha maelekezo ....
  Symbian version 3 na kuendelea tumia HELLOOX latest 2.10
  ila be 4 that inabidi ujisajiri na OPDA International Forum - OPDA.HK ili upate .key na .Cert yako binafsi with full 17 capability!!
  after that sign it with free signer freesigner.v1.01_signed.zip download - Plunder

  halafu ukisha isign hiyo install it na tulia agiza hata bia moja na relax

  CHEERS
   
 17. m

  mbweta JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sharobalo. Daa kaka ntajarib week iliyopitaw nilikuwa cwez download themes nkawaambia Nokia ila wakaniambia njarib vi2 nkaona vinanishinda nkaachana nao. Poa
   
 18. m

  mbweta JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sharobalo. Daa kaka ntajarib week iliyopitaw nilikuwa cwez download themes nkawaambia Nokia ila wakaniambia njarib kuchek baadhi ya vi2 nkaona vinanishinda nkaachana nao. Poa ntajarib.
   
 19. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  haha pamoja mkuu ni bora kujua kuliko kuto kujua
   
 20. e

  erickmalz Senior Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bureeee
  Tafuta Core player ureplace smart movie,then utaniambia whch is the best. Ucpuuzie,am serious
   
Loading...