Hackers wafanya yao website ya UDSM

hackers kutoka Tanzania waingilia tovoti ya universtiy of dar es salaam kitengo cha aquatic

wanadai serikali inawasomesha lakini ajira wanapeana kindugu na zoezi hili ni endelevu

30343ec57e0116f5b8473eae5111cb69.jpg


f2b847d4dfa8de136cd372f246a4197d.jpg


aquatic.udsm.ac.tz
Wanazingua, unaweza kuingilia system... Nenda ka hack Voda au Tigo chukua mitonyo m-pesa au Tigo pesa then kafanye bussness. Ka hack NMB iba mitonyo.. Unapambana ili uajiriwe. Ajira ni udwanzi tu
 
hao UDSM ndo hawana habari kabisa bora Open University of Tanzania wameiweka Off tovuti yao baada ya ku hackiwa na mtu ambae nafikiri ni yule yule!

Na mimi naomba kumuunga mkono alosema kwa "uhandishi tu wa mdukuzi huyu,hadhani kama anaweza ajiriwa sehemu yoyote"

Kama anao uwezo asingekua na hizo fikra za kuajiriwa kiasi cha kuweza kuzi display mpaka pale alipo Dukua!

3292c2d9c57fcbee09f54f31b9147edc.jpg
Na wasiwasi na hilo neno ASEE a clue for the unsub
 
Back
Top Bottom