Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

Alipe mapesa yetu huyo fisadi
Wewe na Muhongo nani yupo sawa? Wewe kama ni raia mwema ulikuwa wapi wakati upinzani unapiga kelele kuhusu hizo pesa na mawaziri wa CCM wote wakasema hizo hazina uhusiano na serikali. Unakula matapishi yako wewe. Jaribu kusoma past documentation ya hili swala kabla hujaja na short phrases zako ambazo hazielezi chochote. Hapa ni Forum ya Thinkers siyo wale wa kusema ndiyo likaenda.
 
Babu unarudisha ngapi chalii yetu aisee tunazihitaji hizo pesa tukamilishe miradi ya maendeleo
 
Asante Kaka Wakudadavua kwa taarifa hii, kiukweli kabisa, rais Magufuli atabarikiwa sana kwa wema huu anaoutenda kuwapunguzia mateso watu hawa.

P.
 
Back
Top Bottom