Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

Pamoja na siku kupita,lakini hela yake lazima ikubaliwe,hao ndiyo target ya mkuu na baadhi ya wasaidizi.
 
Maji yamemfika shingoni😂

Ila watu warudishe hela walizokula. Tusiwaonee huruma kabisa.

Utajiri wa ujanja ujanja wa wizi tuupinge kwa nguvu zote.

Hii issue itakusanya zaidi ya Billioni 500 tujengee Mradi wa maji kufidia pesa walizokula iptl miaka na miaka.

Dollar 22,198,544.60 kwa exchange rate ya leo ya 2310.66 ni TZS 51, 292,623,109.10 na TZS 309,461,300,158.27 jumla inakua TZS 360,753,923,267.37. Magu akisema kweli anamaanisha. Hapa naona hii ishu italeta pesa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom