Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

Wewe na Muhongo nani yupo sawa? Wewe kama ni raia mwema ulikuwa wapi wakati upinzani unapiga kelele kuhusu hizo pesa na mawaziri wa CCM wote wakasema hizo hazina uhusiano na serikali. Unakula matapishi yako wewe. Jaribu kusoma past documentation ya hili swala kabla hujaja na short phrases zako ambazo hazielezi chochote. Hapa ni Forum ya Thinkers siyo wale wa kusema ndiyo likaenda.
Huu uwezo wa kujifanya mnanjua kuthink, basi leo hii chadema ingekuwa chama dola! Mbowe anawapiga huwa kila siku ila hakuna hata kunguni mmona anayeweza kusema hapana!
 
Seth amekiri akiwa katikati ya mateso. Huenda kafanya hivyo ili hicho kikombe kimuepuka tu na si vinginevyo!
Usisahau alitamka bila kupepesa macho kuwa ile haikuwa hela ya umma na leo imethibitika kuwa aliuongopea umma wa Kitanzania. Niendelee?
 
Na hii ndo target ya jiwe baada ya mipasho ya m.kwere ya juzi kumchoma...singa atataja majina makubwa ili kunyamazisha mipasho
Ingelikuwa ni vyema hao waliotuhumiwa, masharti ya kukiri iwe ni pamoja na kuchoma ramani nzima ya vita...

Waeleze ni namna gani walikuwa wakihujumu uchumi, na wamekuwa wakishirikiana na kina nani...
 
Asante Kaka Wakudadavua kwa taarifa hii, kiukweli kabisa, rais Magufuli atabarikiwa sana kwa wema huu anaoutenda kuwapunguzia mateso watu hawa.
P.
kwa wema upi abarikiwe wakati watu wamekaa jela miaka karibia mitatu bila kesi zao kusikilizwa na ushahidi hakuna...hakuna wema hapa..huu ni uonevu na ghiriba. Cha msingi wapunguze 'kujimwambafy' haya ni maisha tu na wote tunapita
 
Hata yeye.....
Akitoka madarakani wanaye!
Ujiulizi? Ilikuwaje akapewa madaraka na wasafi wakati alikuwa mchafu hivi!!? Jibu ni rahisi yawezekana Chakaza ana grudges na 'Mkulukulu' baada ya maslahi yake aliyoyawekeza kwenye 'hila' kutenguliwa. Pole. Take it ease ha ha ha aaa!
 
Asante Kaka Wakudadavua kwa taarifa hii, kiukweli kabisa, rais Magufuli atabarikiwa sana kwa wema huu anaoutenda kuwapunguzia mateso watu hawa.
P.
Abarikiwe sana! Ila kwa mtazamo, nadhani ingependeza sasa wema huu ungefanywa kua sheria na isiwe utashi binafsi. Ni wakati muafaka kale ka kipengele ka kunyima dhamana kwa kosa la 'ML' kalegezwe na kua dhamana kama nchi za wenzetu. Leo Magu anasamehe, kesho atakuja Rais asiye na moyo wa kusamehe, watuhumiwa wataendelea tu kusota magerezani hata kabla hawajathibitika kufanya huo uhujumu wa uchumi.
 
Asante Kaka Wakudadavua kwa taarifa hii, kiukweli kabisa, rais Magufuli atabarikiwa sana kwa wema huu anaoutenda kuwapunguzia mateso watu hawa.
P.
Njia nzuri ya baraka ilikuwa ni kuharakisha upelelezi wa kesi zao na ushahidi kuwekwa mahakamani. Unawezaje kuwaweka watu mahabusu zaidi ya miaka 3 eti upelelezi haujakamilika! Hii ni "saikolojikol tocha" na makusudi na kuwaumiza binadamu wenzako.
 
Save Face Strategy?
Jifanye unakiri kosa ili tukuachie hata kama hulipi chochote maana hatuna namna ya kukushinda mahakamani.

Kama kuna mwenye risiti kuonyesha kuwa Seth kalipa kweli airushe hapa
 
Mbona lile tumbo la puto halipo tena? Au ndio mazoezi hayo? Mzee atakuwa amefaidika sana kutoa hilo tumbo bila upasuaji, pamoja na hasara ya pesa atakzorudisha ila atakuwa na faida ya kiafya.
Akitoka, hayo mabadiliko, sidhani kama atamaliza mwaka bila KUCHOMOKA!
 
Back
Top Bottom