Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Dogo ulikosea sheria za mchezo.....bhaaas
Na wewe ulicheza rafu kufuta nyayo zangu kila nlipopita.
Dogo ulikosea sheria za mchezo.....bhaaas
mhhhh........Habiba!!!
Wekyeamba uyana u uwor'e shir''iwa Monowama. Uambuye ng'u meku ulyawilie see ndao kanyi!
Nadhani ukiomba kazi kwenye moja ya haya magazeti unaweza uza riwaya aisee, Una kipaji cha uandishi.
Hivi wewe unaumwa nini??
Nani kakwambia mstaafu anaweza kuwa infi??
King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, marejesho njooni mnitetea kabla sijasababisha madhara makubwa kwa huyu mtu...
Babu DC!!
hahahaha mkitoka wozap na mie nakuhutaji chap chap sana
Na wewe ulicheza rafu kufuta nyayo zangu kila nlipopita.
Yani Habiba na Dorah ni janga la taifa.
Yani verevere
Wala usiwe na haraka, nimeweka mtego maeneo ya Migombani hapa Savey, ndege wewe ukipita lazima nikunase.
Chapchap sana.
mhhhh........Habiba!!!
Endeleeni kutajana mliokuwa wakuu wa chana lenu..tena nimewasahau: KakaKiiza na Jiwe Linaloishi
Hahahahahahah babu naona unagonga kunako...:A S 39:
Yani Habiba na Dorah ni janga la taifa.
Yani verevere
Hayang awae...kindo kikubwa nyi 'kuambuya..' #yasijirudie .
Babu Dark City umeniruka futi mia kabisa? tatizo nimesahau zile thread zako za enzi zako ulikuwaje? Ama unadhani ni mapak ufanye ndo mjukuu nijifunze...Nilikuwa nakumbuka, "Ahh hata babu DC aliwahi kufanya haya, nothing can ever go wrong, POOR ME!:frusty:"
Na wewe ulicheza rafu kufuta nyayo zangu kila nlipopita.
Afu we dogo nikikumataaa!!!
Afu we dogo nikikumataaa!!!
hommie...ukimkamatamo nistue, tumwonyeshe kilichomyima nyoka kiuno
hommie...ukimkamatamo nistue, tumwonyeshe kilichomyima nyoka kiuno