Habiba Umeniponza...

Habiba Umeniponza...

mentor je hao kaka zako waliokuwa na ushawishi wa wewe kuwa na habiba hawakukumbusha suala la condom?? je ulishawaeeza na jinga gani ulilolipata na wamelichukuliaje?
 
Nice story yaani hapo umeshaharibu kila kitu,sasa kwanini usitumie condom?vipi Diana ukimbembeleza anasemaje?au na yeye ulimuambukiza?
 
Mentor naanza kuona kipaji cha utunzi mwilini mwako..
Back to the story..pombe na ngono ni mtu na kaka yake ..havikwepani.

Just trying bro...but thanks!

You said it right..BOLD!


mentor je hao kaka zako waliokuwa na ushawishi wa wewe kuwa na habiba hawakukumbusha suala la condom?? je ulishawaeeza na jinga gani ulilolipata na wamelichukuliaje?

Sadly hawakunikumbusha na infact hawakutakiwa kunikumbusha...nilikuwa nafahamu yote! Tatizo nilimpima afya kwa macho.

Kaka zangu hawa ndo hawa kina Asprin & co...

Haiye sana!

Haika sana awae...kunu wuyaneny kuwore wukiwa! ila tunajipa moyo...

Pole sana kakaa jombaaa.

Asante braza Ivuga..umepotea sana jukwaani!

Dah...no HAPPY ENDING?Its sad!!

Sadly sad ending...! But one day I will have a happy ending... #iBelieve (nina imani zaidi ya Mbu kwamba nitaishi milele)
 
Last edited by a moderator:
Wekyeamba uyana u uwor'e shir''iwa Monowama. Uambuye ng'u meku ulyawilie see ndao kanyi!

Nadhani ukiomba kazi kwenye moja ya haya magazeti unaweza uza riwaya aisee, Una kipaji cha uandishi.

Just trying bro...but thanks!

Haika sana awae...kunu wuyaneny kuwore wukiwa! ila tunajipa moyo...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom