HabariLeo: Zitto hakamatiki urais 2015

HabariLeo: Zitto hakamatiki urais 2015

kuna mtu anayalipa magazeti ili aendelee kuandikwa kila siku...ni wazi hakuna anayempenda zito kwa sasa.
 
Habari Leo ni gazeti la serikali ila limeshageuzwa kuwa gazeti B la Uhuru la ccm. Haiwezekani gazeti la nchi likageuzwa la propaganda au udaku kama alivyosema member mmoja hapo juu. Taaluma ya uandishi wa habari haitendewi haki.

System @ work!
 
Hivi hapo Habari Leo mshahara kwa ngazi ya Mhariri ni sh ngapi ? Tuanzie hapo kwanza .
 
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia
usiangaike mkuu,hayo ni maneno ya wanamagamba kutaka kutugawa, Zito sio mtu wa kusemewa wala hizo sifa wanazompa,hazimbadilishi mawazo, ni wanamagamba tu,ndio wanaweza kulewa na sifa hizo, wanachadema ni watu makini,wamejipanga kukomboa nchi hii kutoka mikononi mwa Magamba
 
kuna mtu anayalipa magazeti ili aendelee kuandikwa kila siku...ni wazi hakuna anayempenda zito kwa sasa.
hizo ni poropaganda za wanamagamba, Zito sio mtu wa kusemewa,huo ni mpango wa kutuaribia list yetu ya ushindi
 
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia

Sidhani kama nia yao ipo kwenye kumtaka ahame chadema. Bila shaka umewasikia akina Nape na Le Mutuz pia wakimsifia Zitto, lakini kwa imani yangu ni kwamba wanataka kuwachanganya CHADEMA ili wamteue Zitto kwenye nafasi ya Urais na kumwacha Slaa, na hilo litakuwa ni kosa la kiufundi litakalo iwezesha CCM kushinda kiurahisi. Hakuna lingine. CCM na washirika wake wote vikiwemo vyombo vyao vya habari vinamugwaya Slaa kwa sana. Kwa hiyo ni lazima watafute njia ya ziada ya kuiingiza CHADEMA mkenge ili wamuweke mtu ambaye ni rahisi kwao. Nilishasema hapo zamaini, ukiona mpinzani wako anakusifia, ujue wewe si lolote wala si chochote.
you are a GREAT THINKER.HILO NDIO LENGO LAO HASA!
 
Non Sense...Habari Leo ni sawa na magazeti ya Udaku tu.

Hapana Mkulu
Habari Leo ni gazeti la Serikali just like Daily News. Kama linaendelea na haya mambo...then bado tuna tatizo
 
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia

Ilibidi waeleze anapewa nafasi kubwa na nani? Kuhusu kuhama na kukigawa chadema hilo haliwezekani hivi sasa watu wanajitambua hawaburuzwi na mtu mmoja.
 
Atakuwa anaongoza mbio za urais wa mapanya, na masangoma
 
juzi juzi alisema hataki tena kuhusishwa na jambo hili mpaka mchakato halali ndani ya chama chake utakapoanza -- sasa kwa kuwa na yeye kaisoma hii habari wacha tusubiri kauli yake!!!
 
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia[/QUOT

hakuna zaidi ya zitto ndani ya cdm anaeweza kushinda urais, slaa aka babu ameisha zeeka na akili zinazeeka pia
 
Zitto asubiri 2025 kama hawezi atumie nccr mageuzi au asajili haraka chauma
 
Sidhani kama nia yao ipo kwenye kumtaka ahame chadema. Bila shaka umewasikia akina Nape na Le Mutuz pia wakimsifia Zitto, lakini kwa imani yangu ni kwamba wanataka kuwachanganya CHADEMA ili wamteue Zitto kwenye nafasi ya Urais na kumwacha Slaa, na hilo litakuwa ni kosa la kiufundi litakalo iwezesha CCM kushinda kiurahisi. Hakuna lingine. CCM na washirika wake wote vikiwemo vyombo vyao vya habari vinamugwaya Slaa kwa sana. Kwa hiyo ni lazima watafute njia ya ziada ya kuiingiza CHADEMA mkenge ili wamuweke mtu ambaye ni rahisi kwao. Nilishasema hapo zamaini, ukiona mpinzani wako anakusifia, ujue wewe si lolote wala si chochote.

Lukolo you are very right. lakini zzk hana habari, yeye anafikiri ccm wanamkubali ukweli, pamoja na ushost wao na dr.dr.anaamini 100% kuwa wanamfagilia yeye, lakini hata huyo shost wake anamdanganya ili amtumie, akijua fika cdm wakimuweka tu wameumia na ccm inapeta.
ni kijana aliyejaribu kuonyesha umahiri, lakini sio kusema uraisi anauweza, mbona pia imejidhihirisha pia ana mambo mengine ambayo hayajakaa sawa hasa kwenye hizi kamati alizoteuliwa na dr.alfan?
 
ndugu nikwambie tu ccm hiyo huo ndio mkakati wao wa kuweza wa kuiweaken chadema kwa maana ya kuwa wanamtumia zito zuberi kabwe kuisambaratisha chadema lakini kwa sababu wao binafsi wameshatambua ya kuwa zitto ni msaliti hawatampatia nafasi hata kidogo.

Huhitaji kusoma magazeti kuweza kutambua ya kuwa zitto ni msaliti wa chadema yeye binafsi ameonyesha dhahili ya kuwa kuna kitu nyuma yake kinachompatia nguvu ya kufanya yote hayo.

Kwa mfano kila chama kina utaratibu wa kufanya mambo yake kwa maana ya kuwa kutoa kauli kwa viongozi wake na n.k lakini cha kushangaza zitto anaenda kwenye vyombo vya habari na kutamka ya kuwa anataka kugombea uraisi kupitia chadema bila hata kupitia kwenye ngazi husika kwa maana ya mkutano wa chama kama huo sio usaliti wa waziwazi tuuiteje
 
Mimi nastaajabu kitu kimoja, kwanini wana CHADEMA akitajwa Zitto na urais huwa mnashtuka sana?

Kwani atajipitisha mwenyewe kwenye vikao vya chama?

Kama mnaamini kwamba mnaye mgombea mbadala anayekubalika, kwanini mna wasiwasi?

Au mnahisi Zitto ana nguvu za kuweza kuwa derail?
 
Back
Top Bottom