HabariLeo laumbuka; vabaraka wa CCM chali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HabariLeo laumbuka; vabaraka wa CCM chali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfu Lela Ulela, Jan 17, 2011.

 1. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baba mzazi wa kijana Ismail aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi huko Arusha, katika mapambano kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA amesema kuwa hakukuwa na shinikizo lolote kupeleka mwili wa mwanae viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya kumuaga.

  Mzazi huyo amesema uamuzi wa kupeleka mwili huo viwanjani NMC ulikuwa ni uamuzi wa familia na hakukuwa na shinikizo lolote kutoka nje ya familia kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo awali.

  "Yalikuwa ni maamuzi ya familia kuwa mwili wa Ismail upelekwe viwanjani kuagwa na hakukuwa na shinikizo lolote kama inavyodaiwa." alisema mzazi huyo na kuongeza
  "Tuliamua kufanya hivyo ili kuuonesha ulimwengu ukiukwaji haki uliyofanywa na jeshh la polisi"

  Taarifa hii inakuja siku chache baada ya kuenea uvumi kuwa wazazi wa Ismail walishinikizwa kupeleka mwili wa marehemu viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya mazishi.

  Uvumi huo ulizidi kupaizwa na vyombo vya habari (likiwemo gazeti la HabariLeo) na kukihusisha chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusika kuishinikiza familia kuileta maiti ya Ismail uwanjani NMC.

  Kwa maana hiyo taarifa ya mzazi wa Ismail inakisafisha chama cha CHADEMA kutokana na kupakaziwa na kuchafuliwa na taarifa za uvumi zilizotolewa awali.

  Vilevile taarifa hii inaonesha wazi namna baadhi ya watu wenye nia mbaya (kwa kutumia gazeti la HabariLeo) wanavyopika habari na kuzivumisha, huku wakichafua wengine kwa alili ya maslahi yao wenyewe.

  Pongezi kwa mzazi wa Ismail aliyeamua kueleza ukweli. Pongezi CHADEMA kwa kuruka kiunzi cha kutaka kuchafuliwa kwenye kazi njema mliyoianza.

  SOURCE:Radio One.
   
 2. D

  DENYO JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  polisi wauaji wanahaingaika na vivuli vyao. Hawana mandate ya kuua. Wajifunze tunisia. Deus kibamba aliwaeleza kwenye kipama joto waandae makontena ya risasi lakini watachemsha kwa nguvu ya umma.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Very cheap reporting!
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Deius Kibamba ni mchambuzi mahiri sana, mimi upenda jinsi anavyochambua maswala ya kisiasa/uchumi. Tafadhali nifahamishe kama kipindi hicho cha kipima joto kina marudio na lini? Natanguliza shikurani.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hivi mhariri wa gazeti hilo anajisikiaje anapomwona Baba Mzazi wa marehemu akieleza kinyume na alivyoandika!!! Ama kweli siku ya kufa nyani......
   
 6. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  You are weak minded Oneya.
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani masikini HabariLeo njiani kushabikia udaku!!!!!!!!!!!!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  me nadhani habari leo na dailynews wangeungana na kampuni ya ile ya global publishers kuendelea na shughuli za habari za udaku.......................they av fineshed,hivi hadi leo hii kuna mtu bado ananunua hayo magazeti???
   
 9. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri mkuu.
  Ila nadhani kabla hawajaungana na hiyo kampuni dada ya udaku, washtakiwe kwanza.
   
 10. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndo uzuri wa mali za serekali, linunuliwe lisinunuliwe, mshahara ni palepale! Kaa ofisini hakuna haja ya kukusanya habari, msifu Kikwete mtukane Slaa!
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Makamba should be pretty propud of him,. i.e. Oneya
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Seiously, waandishi wote wa habari kama mna maadili katika taaluma yenu tafadhali sana zingatieni.
  Uandishi na upotoshaji wa namna ni rahisi sana lakini madhara yake ni makubwa. Acheni kushabikia vyama iwe CCM, CDM, CUF nk. Walichofanya Habari Leo ni aibu kwa taaluma ya uandishi, wasimame na kukemea....hivi hawana Baraza lao Walikosajiliwa ambako mkondo wa nidhamu unaweza chukua nafasi?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hili gazet wenzangu huwa mwalisoma?
   
 14. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hizo zilikuwa hasira za ufisadi wao wa kushindwa kuzuia maiti kufika uwanjani. Nilikuwepo, niliona, na nilipost thread kuhusu kadhia hii
   
Loading...