shomby Member Mar 24, 2014 17 2 Jun 23, 2016 #1 Naomba kuelemishwa jinsi ya kutumia PM na kumfollow mtu
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,771 Jun 23, 2016 #3 shomby said: Naomba kuelemishwa jinsi ya kutumia PM na kumfollow mtu Click to expand... Hivyo tu?
Kisima JF-Expert Member Oct 8, 2010 4,113 4,467 Jun 23, 2016 #4 Bonyeza ID ya member unaemtaka baada ya hapo utaona kila kitu. Ni rahisi kama kumsukuma mlevi vile! Karibu JF mkuu!
Bonyeza ID ya member unaemtaka baada ya hapo utaona kila kitu. Ni rahisi kama kumsukuma mlevi vile! Karibu JF mkuu!