Habari zenu waungwana nimenusurika

Naomba utaratibu nikitaka kumuona jini natumia njia gani maana nataka ku prove kama kweli kuna viumbe tofauti na binadamu vina ishi.
Huwezi kumuona JINNI Live unless ufanye au uwe umefanya vitu vya kufuru mno
Ama awe amekuchunuku au wamekuchunuku na umefikia viwango vikubwa ndio anaweza kukutokea katika umbo la kibinadamu na kufahamu kuwa nipo na JINNI lakini katika umbo la kibinadamu
hata kuishi na wewe na unaweza kuishi na JINNI kinyumba au ushirikiano wa hali ya juu lakini usiweze kumuona kwa Umbo lake halisi

Umbo halisi la JINNI linatisha sana tena saana
Na ikatokea binadamu wa kawaida ukaingia katika anga zao wakiwa katika maumbo halisi duniani kitendo cha kumuona sekunde chache huweza kupatwa maradhi makubwa hata kupalalaizi au hata ukapitiwa tu ule upepo bila kumuona unaweza lala ndani wiki nzima hata mwenzi kwa maradhi yasionekana

Hvyo kumuona JINNI na kumuona kwa kujua huyu ni JINNI si AIDIA nzuri inaweza kukuletea matatizo makubwa au kukuingiza katika mambo usiyoyategemea nakushindwa kutoka 7bu JINNI mpka akajitransfom kuwa katika umbo la kibiniadamu uwa na misheni maalum si wote huvaa tu husika wa kibinaadamu ni mpk iamuliwe wengi utamani lkn hawawezi

Sasa kumuona JINNI katika umbo lake la kutisha huwe umefika viwango vikubwa vya Uwalii(uongozi au mamlaka) ambayo mwenyezimungu mwenyewe hukujalia
Mfano MASHEKHE wenye elimu kubwa au hata baadhi ya Wachungaji wenye karama kubwa au walokole wenye kunena mpk kwa lugha ama uchunukiwe na MAJINNI wakubwa kwa ajili ya TIBA

kinyume chake uwe mshirikina wa kiwango cha juu au mchawi wenye vyeo makundini ama waganga washirikina

Hvyo basi ndugu mtanzania mwenzangu baki kusikia tu hvyo hvyo tu basi yapotezee
Ila mahusiano na MAJINNI si mazuri wala si ya kufurahia au kutaja kuyashuhudia huwa na mwisho mbaya mno si hapa duniani na hata AKHERA huwa majuto makubwa baadaye
 
Hivi kwa nini hawa viumbe huvaa kama wanawake wa kiislamu tu.
Nasema uongo jamani??
MAJINNI hupenda MUONEKANO mzuri
Lakini MAJINNI huvaa vyovyote kulingana na misheni husika na lengo la hapa DUNIANI

Majinii huweza kuja vyovyote hata kimasai kifaransa kichina kulingana na eneo analotoka

Jinni kutoka mashariki ya kati uarabuni atavaa uhusika wa kiarabu na kuwa kma mwanamke wa kiarabu pia
 
Huwezi kumuona JINNI Live unless ufanye au uwe umefanya vitu vya kufuru mno
Ama awe amekuchunuku au wamekuchunuku na umefikia viwango vikubwa ndio anaweza kukutokea katika umbo la kibinadamu na kufahamu kuwa nipo na JINNI lakini katika umbo la kibinadamu
hata kuishi na wewe na unaweza kuishi na JINNI kinyumba au ushirikiano wa hali ya juu lakini usiweze kumuona kwa Umbo lake halisi

Umbo halisi la JINNI linatisha sana tena saana
Na ikatokea binadamu wa kawaida ukaingia katika anga zao wakiwa katika maumbo halisi duniani kitendo cha kumuona sekunde chache huweza kupatwa maradhi makubwa hata kupalalaizi au hata ukapitiwa tu ule upepo bila kumuona unaweza lala ndani wiki nzima hata mwenzi kwa maradhi yasionekana

Hvyo kumuona JINNI na kumuona kwa kujua huyu ni JINNI si AIDIA nzuri inaweza kukuletea matatizo makubwa au kukuingiza katika mambo usiyoyategemea nakushindwa kutoka 7bu JINNI mpka akajitransfom kuwa katika umbo la kibiniadamu uwa na misheni maalum si wote huvaa tu husika wa kibinaadamu ni mpk iamuliwe wengi utamani lkn hawawezi

Sasa kumuona JINNI katika umbo lake la kutisha huwe umefika viwango vikubwa vya Uwalii(uongozi au mamlaka) ambayo mwenyezimungu mwenyewe hukujalia
Mfano MASHEKHE wenye elimu kubwa au hata baadhi ya Wachungaji wenye karama kubwa au walokole wenye kunena mpk kwa lugha ama uchunukiwe na MAJINNI wakubwa kwa ajili ya TIBA

kinyume chake uwe mshirikina wa kiwango cha juu au mchawi wenye vyeo makundini ama waganga washirikina

Hvyo basi ndugu mtanzania mwenzangu baki kusikia tu hvyo hvyo tu basi yapotezee
Ila mahusiano na MAJINNI si mazuri wala si ya kufurahia huwa na mwisho mbaya mno si hapa duniani na hata AKHERA huwa majuto makubwa
Asante ila umekimbilia kunitisha badala ya kunipa njia au mbinu za kuonana nao tumesikia shuhuda nyingi za kuona viumbe vya ajabu na watu vinawatokea na wanasimulia binafsi siamini sana sababu sijawahi kuona na hata nikiona nataka kwa ajili ya kujifunza na stori mbili Tatu sio kukufuru asante!
 
Sijakutisha nimeekutahadharisha ukitaka unaweza kuendelea
Ni jambo la maamuzi ya siku 1 katika wiki na kukusanya baadhi ya vitu wala si lazima awepo mganga au mtaalamu ni wewe mwenyewe tu kufuata masharti na maelekezo na kuamua kutumia njia ipi
Kwa kuwa hujafikia viwango njia ya mkato ni kufanya ushirikina wenye kufuru
Mfano wa tools 1 katika baadhi ya njia ni kuwa na kiungo cha ndani cha paka aliyekufa ndani ya masaa 24 je utaweza ? na
Kuna mengi tu katika maandalizi ya haraka na ukifanikiwa kuwaona hurudi nyuma tena unakuwa mshirika wao je utakubari
Hvyo achana na habari za kutaka kuwaona MAJINNI tafuta riziki kwa ajiri ya familia yako
watakupotezea muda wako wa thamani hapa DUNIANI ambao hautaupata tena
 
Sijakutisha nimeekutahadharisha ukitaka unaweza kuendelea jambo la maamuzi ya siku 1 katika wiki na kukusanya baadhi ya vitu wala si lazima awepo mganga au mtaalamu ni wewe mwenyewe tu kufuata masharti na maelekezo na kuamua kutumia njia ipi
Kwa kuwa hujafikia viwango njia ya mkato ni kufanya ushirikina wenye kufuru
Mfano wa tools 1 katika baadhi ya njia ni kuwa na kiungo cha ndani cha paka aliyekufa ndani ya masaa 24 je utaweza ? na
Kuna mengi tu katika maandalizi ya haraka na ukifanikiwa kuwaona hurudi nyuma tena unakuwa mshirika wao je utakubari
Hvyo achana na habari za kutaka kuwaona MAJINNI tafuta riziki kwa ajiri ya familia yako
watakupotezea muda wako wa thamani hapa DUNIANI ambao hautaupata tena
Sasa mkuu kiungo cha ndani cha paka aliekufa ndani ya 24hrs nashindwaje kukipata? Mimi sina shida ya utajiri au maradhi ya kutibiwa na wao kikubwa ni uthibitisho tu kwamba kweli ivi vitu vina exist au tunaongopeana tu na kama vipo si mbaya kujadiliana nao mambo kadhaa wa kadhaa kama marafiki tu sababu wapo Majini wema na mtu akipandisha mashetani mbona tunapiga nao stori tu bila masharti yoyote.
 
Hapo sasa ndipo sisi tunapokosea wanaadamu

kila mmoja ana fani yake mpk mtu kuwa CLINICAL OFFICER inamaana amehudhuria masomo ya udaktri si chini ya miaka mitano lkn mpk uwe daktari inakupaswa upate miaka zaidi ya uzoefu nakuwa darasani mpk kutunukiwa nishani ya kuwa daktari

Hvyo inakupaswa ujifunze ufundishwe na upate muda wa kupractise jambo ambalo mimi siwezi

Rejea juu ya baadhi ya comment ya tofauti ya sheitwani na JINNI
sasa itakuaje mtu apandwe na SHEITWANI kichwani mkazungumza
ni JINNI alimvuruga mfumo wake wa neva na fahamu akauvaa huusika wa huyo binadanu ndi mkazungumza
hvyo huyo JINNI anaweza akawa hana hata sifa ya ushetani ikawa ni mapenzi kwa huyo mtu kutaka afikishiwe jambo fulani au kadha wa kadha

Hvyo mimi siwezi kukupa michakato au taratibu zozote za kukutana nao
kutokana na kila MAJINNI wa eneo husika wana namna zao hivyo mkuu hilo swala lipo nje ya uwezo wangu
 
Kuchunuku=Kutunuku.
Unajua Kiswahili ni kipana sana na kitakupa tabu kama hujui lahaja tofauti na uliyoizoea.
Asili ya neno lenyewe ni KUTHUNUKU inatamkwa Kutunuku, pia huitwa Kuchunuku.

Ndio maana wenzetu wa Mombasa na Lamu mpaka sasa bado wanaongea hivyo kwenye baadhi ya maneno. Nakupa mfano:
1. Kithana......kitana....kuchana nywele.....kutana nywele....ushawahi kujiuliza kwanini watu wengine huwa wanasema kutana nywele na sio kuchana nywele?
2. Kuthamba....kutamba....kuchamba
3. Kithwa.....kichwa

Mombasa wanatamka na T na huandika kwa kuambatanisha T na H
 
Al baulu Ndio mkojo au?kuna miaka flani ulivuma uvumi eti mkojo wako unaongeza kinga mwilini I see watu walibugia mikojo balaa
 
Back
Top Bottom