Habari zenu waungwana nimenusurika

Huyu tangu kwenye uzi wake wa kuulizwa Maswali nilibaini ni tatizo tu kama matatizo mengine
 
Khaaaaa! mimi nikadhani umenusurika kuliwa mzigo kimasikhara kumbe ni hivyo tu.
 
Awali ya yote JINNIi na SHEITWANI ni vitu viwili tofauti
Ambapo wengi huchanganya katika matamshi

Kiumbe chaweza kuwa JINNI lakini kisifike LEVO au cheo cha kuitwa SHEITWANI

Na KIUMBE chaweza kuwa BINADAMU km mimi na wewe lakini twaweza fika LEVO za juu kabisa za CHEO cha ushwetani kutokana na kufuru zetu kwa MUNGU

Na cheo cha USHEITWANI wanakipata MAJINNI na BINADAMU tu kutokana ba MATUKIO yao matendo maneno

Lakini mpaka mpaka JINNI au BINADAMU upate kuwa SHEITWANI
Basi MWENYENZIMU amekukataa na wewe MWANAWADAMU au JINNI umeemkataa MWENYEZIMUNGU pia sio muumba wako na wala umtegemei yeye
inamaana MUNGU AMEKULAANI km alivyolaaniwa IBILISI ndio mana mpaka leo IBILISI ni SHEITWAN mkuu

Bahati iliyopo sisi wanaadamu tukitubia kwa kutorudia kosa tunasamehewa hata km dhambi zetu rundo tani 100 tunasamehewa
lakini kwa MAJINNI akillaaniwa na kuwa sheitwani wamelahaniwa ndo nitolee hiyo wanasubiri tu moto kuwachoma ndo maana likikuvaa SHEITWANI la KIJINNI linakupelekesha puta au kukuhadaa na starehe za dunia kwelikweli usahau kutubia ili muende wote MOTONI anataka muende wote

tukirudi kwenye mada yako ni kawaida JINNI mahaba kukuhadaa kwa utajiri na uganga hasa wale wa kuchunuku
Lkn kwa namna ya maelezo yako 90% si sahihi

JINNI mwenye kutaka kukupa kitu inamaana wa kuchunuku hawezi kukutokea ghafla bin vuu eti chukua hiki
hizo ni story tu pengine mmekuwa mkithimuliana vijiweni
JINNI mwanamke wa baharini hawezi akakutajia dawa zenye najisi uchafu ?!!
uganga wa kijjini unapenda usafi
hata me nimeshangaa mtaalam.vinyes vinyes mostly huwa ni dawa za kuumiz umiz.baulu( bawl) mkojo huo.∆ baulu ya asubhi ni mkojo wa asubuh. mtaaaalm
 
Hao ni ndugu zao
Majini ni viumbe mzee kama mimi na wewe....wapo wachamungu na waasi.

Kuhusu mavazi wapo wanao vaa kanzu kama mapadri/ ma papa na wengine baibui na viremba kama masista....

Umeelewa??
 
Awali ya yote JINNIi na SHEITWANI ni vitu viwili tofauti
Ambapo wengi huchanganya katika matamshi

Kiumbe chaweza kuwa JINNI lakini kisifike LEVO au cheo cha kuitwa SHEITWANI

Na KIUMBE chaweza kuwa BINADAMU km mimi na wewe lakini twaweza fika LEVO za juu kabisa za CHEO cha ushwetani kutokana na kufuru zetu kwa MUNGU

Na cheo cha USHEITWANI wanakipata MAJINNI na BINADAMU tu kutokana ba MATUKIO yao matendo maneno

Lakini mpaka mpaka JINNI au BINADAMU upate kuwa SHEITWANI
Basi MWENYENZIMU amekukataa na wewe MWANAWADAMU au JINNI umeemkataa MWENYEZIMUNGU pia sio muumba wako na wala umtegemei yeye
inamaana MUNGU AMEKULAANI km alivyolaaniwa IBILISI ndio mana mpaka leo IBILISI ni SHEITWAN mkuu

Bahati iliyopo sisi wanaadamu tukitubia kwa kutorudia kosa tunasamehewa hata km dhambi zetu rundo tani 100 tunasamehewa
lakini kwa MAJINNI akillaaniwa na kuwa sheitwani wamelahaniwa ndo nitolee hiyo wanasubiri tu moto kuwachoma ndo maana likikuvaa SHEITWANI la KIJINNI linakupelekesha puta au kukuhadaa na starehe za dunia kwelikweli usahau kutubia ili muende wote MOTONI anataka muende wote

tukirudi kwenye mada yako ni kawaida JINNI mahaba kukuhadaa kwa utajiri na uganga hasa wale wa kuchunuku
Lkn kwa namna ya maelezo yako 90% si sahihi

JINNI mwenye kutaka kukupa kitu inamaana wa kuchunuku hawezi kukutokea ghafla bin vuu eti chukua hiki
hizo ni story tu pengine mmekuwa mkithimuliana vijiweni
JINNI mwanamke wa baharini hawezi akakutajia dawa zenye najisi uchafu ?!!
uganga wa kijjini unapenda usafi
Naomba utaratibu nikitaka kumuona jini natumia njia gani maana nataka ku prove kama kweli kuna viumbe tofauti na binadamu vina ishi.
 
Umewahi kuwashuhudia wangapi mkuu kwa macho yako au ndo chuki tu dhidi ya Imani nyingine?Mkuu acha chuki si kitu kizuri sana
Jombaa hao hawawezi kujifananisha na kitu ambacho hakipo kwao lengo lao nikupoteza binadam sasa watajifananisha na dini gani iliyo sahihi?

Kaa ukijua dini ya Mungu mmoja tu
 
" ghafla kweli nikamuona akiwa ndani ya jumbile la kike ikiwa amevaa nguo nyeusi baibui"

Hivi baibui na kanzu ndo mavazi rasmi ya majini enheee? Maana kila anayeleta stori za majini lazima atasema wamevaa mavazi hayo.
 
Ndugu Mzimu wa Kolelo , je huu msamiati kuchunuku una maana gani?
kuchunuku
Ni JINNI wa kukupenda mwenyewe bira kutumwa au kuwa na nia ya kukudhuru
au pia anaweza kuwa wa kumrithi toka mara nyingi huwa kwa babu
Kwa nini nasema toka kwa babu 7bu mara nyingi JINNI mwanamke ndo hupenda kuchangamana na mwanadamu kwa mapenzi ya kweri(kuchunuku) lkn inaweza ikawa kwa jinsia nyingne kwa namna ingne isiyo kimapenzi lakini huwa wakweli

JINNI wa kurithi huweza kukuchunuku tangu ukiwa tumboni mwa mamayako na akakusubiri mpk ufike umri sahihi

Lakini pia JINNI wa kukuchunuku kawaida huweza kukupenda tangu ukiwa umri wa kuanza shure yaan
yaweza akawa anapita tu sehemu akakuona au yaweza mkawa mmeingia au mmepita eneo lao au wakawa wamepata habari zako
Lakini pia JINNI wa kuchunuku anaweza akawasaliti wenzie au hata familia yake kwa mapenzi tu kwako

Hvyo msamiati sahihi wa kuchunuku ni kukupenda lakini katika mahusiano kati ya JINNI na Binadamu
yaweza kuwa mapenzi au mahusihano ya kawaida eidha kielimu kiuganga nk kuchunukiwa ni kupendwa na MAJINNI wenyewe na kukuchagua kwa ajili ya jambo lao au adhima yao katika kufikisha kitu jambo msaada au vitu kwa BINADAMU ama la kinyume chake kuchukua vitu au jambo nk
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi huu wa kina. Hakika elimu haina mwisho. Nimejifunza jambo jipya hapa.
 
Back
Top Bottom