dj afro fan
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 106
- 79
Ndugu zangu nina uhitaji wa internet nyumbani.. nahitaji kujua internet provider wa hapa mwanza. Mm nipo bwiru press
Huna uwezo Huo so itulize nafsi kijana hata wenye nazo hawajafanya hivyoNdugu zangu nina uhitaji wa internet nyumbani.. nahitaji kujua internet provider wa hapa mwanza. Mm nipo bwiru press
Habari node wana gharama sana na internet speed yao ni ndogo sana. Nilisha watumia nikiwa moshimwanza nazani "Habari node" sasa sijui kama amefika bwiru.
basi TTCL nae nazani anasambaza hapo Mwanza bila shakaHabari node wana gharama sana na internet speed yao ni ndogo sana. Nilisha watumia nikiwa moshi