Kwa taarifa yako hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa kumtia hatiani, labda kwa maagizo ya muuaji Samia. Yaani unasubiria meli airport.Hakuna siku nitafurahi kama siku anatiwa hatiani kwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa! Kwani sasa hivi mshasema? Mtasema sana baada ya hapo!
Sawa Jaji Mkuu.Kwa taarifa yako hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa kumtia hatiani, labda kwa maagizo ya muuaji Samia. Yaani unasubiria meli airport.
Ulimaanisha mamaako ama?Anyongwe kwa maelekezo ya kahaba?
Mnasubiri nini kumnyonga?Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
Tunasubiri ahukumiwe na Mahakama kwanza. Nchi inafuata utawala wa Sheri ujue.Mnasubiri nini kumnyonga?
Huyo namdai mwambie kanikimbia kwenye uzi fulani mkumbushe arudi kwenye uzi wetu, chawa huyoKwa vile wewe ni mtoto wa Shule nikuchukulie kama chekechekea anayetawazwa kinyesi, huna hatia kwa haya uropokayo.
Ila ukiwa mkubwa utayachukia uliyoropoka.
Majaji wanatoa hukumu kutokana na ushahidi, sio kuficha fedheha ya wanaccm dhidi ya Lisu. Hapo walipo wanaangalia namna ya kumaliza hiyo kesi kwa kukwepa fedheha. Lakini hakuna ushahidi hapo zaidi ya kuanika ni jinsi gani tuna jeshi la polisi lililojaza wajinga.Sawa Jaji Mkuu.
ni mjinga kuzidi kengeza.
Amekaa kiboya akabugia siafu
Nalog-off
Kumbuka shahidi wa jamhuli hakumbuki lini alifufukaMnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
View: https://vm.tiktok.com/ZS4wvamth/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Mbona una roho mbaya sana?Hakuna siku nitafurahi kama siku anatiwa hatiani kwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa! Kwani sasa hivi mshasema? Mtasema sana baada ya hapo!
Kawa mzazi au Commonwealth wamemkalia kooni? Tuwe wakweli guys 😹😹Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Ndio zetu sie wa pwaniMbona kama heka heka hivi
Ana kosa gani?Hakuna siku nitafurahi kama siku anatiwa hatiani kwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa! Kwani sasa hivi mshasema? Mtasema sana baada ya hapo!
Wewe unahisi alikufa?Kumbuka shahidi wa jamhuli hakumbuki lini alifufuka
Nakuonea wivu wewe mwenye roho nzuri!Mbona una roho mbaya sana?
Litakalothibitishwa na Mahakama.Ana kosa gani?
Si Kesi bado inaendelea?Mnasubiri nini kumnyonga?