Habari ya Madaktari Canada kukataa nyongeza ya mshahara imetiwa chumvi sana

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,241
4,466
Kuna Habari inayo trend kuhusu madaktari wa Canada kukataa kuongezewa Mshahara. Inadaiwa Madaktari 500 pamoja na wanafunzi wa udaktari 150, wa moja ya jimbo la Canada (Quebec) wamekataa kuongezewa mshahara wakati kada nyingine zikiwa na mishahara duni.

Magazeti mengi, hususani ya Kenya, yameandika sana habari hii yakilinganisha na madai ya muda mrefu ya Madaktari wa Kenya ambao wamekuwa wakidai nyongeza za Mshahara.

Ikumbukwe nchi zima ya Canada ina madaktari zaidi ya elfu themanini (80,000) na hivyo wanawakilisha sehem ndogo sana ya madaktari (0.625%) waliopo Canada.

Tusilishane Sumu.
 
Chumvi ipi, dadavua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom