Habari wapendwa

Habari wapendwa

Gabriery

Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
5
Reaction score
2
Jamani naomba ushauri kutoka kwenu nilikua nataka kwenda kusomea kilimo na pia napenda niji ajiri kupitia kilimo ila nilikua naomba mnishauri nika some au niji ajiri kupitia kilimo msaada wenu wakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa unasoma huku unajiajili kwa mfano kama huko chuo unaweza kutafuta flashes na vifaa vingine vya kiilektroniki na ukauza huko chuo wanunuzi wapo.
Omba mods waamishe uzi wako jukwaa la biashara watu wakupe mawazo mingine ya biashara.
 
Ila ndugu yangu huki somea kilimo kuna huakika WA ajira msaada wako mkubwa
 
Back
Top Bottom