Fakhi Jumaa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 239
- 47
Wanajamvi naombeni yeyote mwenye links au mwenye Muvi za Blue Rays tafadhali anipe mwanga au anipatie Muvi hizo,Mi nipo Arusha ila hata ka ni Dar naweza kutafuta muda nikaja kuzichukua.Thanx in Advance