Habari wanajamii nahitaji msaada wenu

Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019.

Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA

1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
-nursing
-medicine
-pharmacy
-laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
-physics
-chemistry
-biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo,
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma)
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE:KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.


NATIONAL EXAMINATION RESULT 2018
KIJANA WANGU KAMA UMEMALIZA FORM FOUR NA MAMBO SI MAZURI BOFYA HAPA UANGALIE CHUO BORA KWA CERTIFICATE PAMOJA NA COURSE NZURI UTUME MAOMBI UKASOME

LIST YA VYUO VYA DIPLOMA NA CERTIFICATE VINAVYOTAMBULIWA NA NACTE NI HIVI HAPA

WALE WA MAMBO YA UTAWALA , BIASHARA, SHERIA, MAENDELEO YA JAMII, RASILIMALI WATU, UTALIII NA MAMBO MENGINE SAWA NA HAYO WAPITE HAPA


WALE VIJANA WA FORM FOUR WANAOTAKA COURSE ZA KILIMO , COMPUTER NA NYINGINEZO ZA SCIENCE KWA CERTIFICATE PITIA HAPA UPATE MWONGOZO

WALE WANAOTAKA COURSE ZA AFYA PITIA HAPA UPATE MWONGOZO NA UCHAGUE COURSE NZURI NZURI ZA AFYA

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019 NI HIVI HAPA PITIA HAPA UPONE MAPEMA
 
Mimi ni mwanafunzi niliye maliza form four matokeo yangu ni Physics C chem D math D kiujumla nina three 24 ushauliwenu wanajamii comb ya pcm nisome private form 5&6 malengo yangu baadae nije kusoma computer science au ni ende college

Sent using Jamii Forums mobile app
PCM una point 11 wizara inataka uwe na point kuanzia 3 hadi 10 kwenye combi yako, na katika masomo 7 uwe na C zisizopungua 3. Hivyo ingawapo utakuwa na C3 kwa ujumla una point 11 kwenye kombi wakati wanasema zisizidi 10. Njia pekee ni kwenda college na kama unataka Computer Science tafuta uzi wa Mwal. Mathew Mndeme uusome na kuuelewa.
 
Mimi ni mwanafunzi niliye maliza form four matokeo yangu ni Physics C chem D math D kiujumla nina three 24 ushauliwenu wanajamii comb ya pcm nisome private form 5&6 malengo yangu baadae nije kusoma computer science au ni ende college

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunao wenzako wenye shida kama yako. Wapo wanapiga advance now kupitia mfumo maalumu wa credit, unaitwa "special need programs". Hivyo badala ya kwenda collage, unaweza kutoboa tu kupitia advance to university.

If upo interested na hili, naomba nichek pm nikupe maelezo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom