monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 790
- 1,283
Mimi ni mwanachana npya nahitaji kujifunza mengi nisiyoyajua kupitia JAMIIFORUMS. Ili nipate Replies nyingi kwenye Threads yanipasa kufanya nini? Msaada tafadhali.
Mbona wanicheka rafiki?Hahahaaa
Ngoj wajeMbona wanicheka rafiki?
Kidumetafadhali
Hatuendi hivyo kaka kuuliza c ujinga. Nahitaji kuelewa ndo maana nimeuliza.stupidity
Wakikushauri vizuri njoo unishtueMimi ni mwanachana npya nahitaji kujifunza mengi nisiyoyajua kupitia JAMIIFORUMS. Ili nipate Replies nyingi kwenye Threads yanipasa kufanya nini? Msaada tafadhali.