Habari njema za uzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari njema za uzima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Breacher, Jan 14, 2011.

 1. B

  Breacher Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mkutano wa injili unaendelea kanisa la TAG Manzese B. Kibao chake kiko plae tiptop kama unaelekea ubungo kiko upande wa kushoto.
  kuna mhubiri pale anafundisha vitu ambavyo kama kuna mtu anatamani kujifunza kujua mafunuo ya maandiko nadhani itakuwa muhimu sana. seminar ipo kila siku kuanzia saa kumi jioni. ni vizuri mtu ajaribu mwenyewe angalau siku moja halafu aamue kutokwenda au lah. wenye pikipiki wapo hapo kwenye kibao na taxi
   
 2. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu, umetimiza agizo la neno la Mungu la kulitangaza neno lake popote, ujumbe umefika na nadhani bwana atajitwalia walio tayari kwenda kusikiliza.
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Asante mkuu kwa tangazo
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ubarikiwe sana mpendwa kwa kusaidia kuliforward neno la kweli. wengine tuko mbali kwa sasa nafikiri walio karibu watahudhuria
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  amina sana tu...amina sana tu......TENA ANAYEHUBIRIWA NI YESU ALIYE HAI......ambaye ukimwamini UZIMA WA MILELE NI MALI YAKO,TAJI YA UZIMA,........UTAMSHINDA SHETANI DUNIANI NA MBINGUNI PIA....ndo maana tunasema kuna WOKOVU DUNIANI
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Amina mpendwa. Ubarikiwe sana kwa ujumbe huu.
   
 7. soine

  soine JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hongera mpendwa kwa huduma. Huduma yako ni nzuri sana. Plz endelea kushirikisha wanaJF neno la Mungu.
  Mwenyenzi Mungu aibariki injili yake.
   
Loading...