Habari njema toka AfroIT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari njema toka AfroIT

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Apr 24, 2010.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,kwa niaba ya wana AfroIT tunawashukuru wale wote walioshiriki kwa maoni,michango ama ushauri katika safari nzima ya kufanikisha AfroIT,leo hii ninapenda kuwajulusha kuwa AfroIT Tech Suite imekamilika na jana tumeilaunch rasmi,huu ni mtandao ambao utapata kila kitu kwa click moja,kuanzia Technology,E Learning,Blogs,Forums,Downloads nk,

  Kujionea mwenyewe click www.afroit.com
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, kazi nzuri sana nimeipenda imetulia kuliko ilivyo kuwa mwanzo,pia iko faster sana! pamoja ndugu.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  hongera naingalia kwa kipindi cha wiki 1 hivi ndio niaweze kusema chochote hapa natumia kupitia simu ya mkono naona iko poa lakini la karibu zaidi ni suala la lugha mngejaribu kutumia lugha ya kiswahili kwa asilimia kubwa inasikitisha hatuna mtandao ulio na lugha ya kiswahili moja kwa moja BILA KUSAHAU SUALA LA USAJILI LINASUMBUA KIDOGO NAONA KUNA SHIDA KWENYE DBASE YENU
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, nilikuwa nimejiunga kipindi cha mwanzo leo na jaribu kuingia ID yangu inimeshindwa na sikumbuki nilitumia e-mail gani kujiandikisha! au mmefuta database ya zamani?
   
 5. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera Kilongwe, kitu kimetulia sn, wanaobeza wanayao moyoni mwao. Suala la lugha ni jambo linalochukua muda hata hao wenye mitandao mikubwa duniani walianza kidogo kidogo.
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  hakuna aliyebeza ameomba maoni hayo ndio machache yaliyoonekana kwa sasa lakini hilo la lugha ni muhimu sana watu wengi wanashindwa kutumia mitandao hii kwa sababu ya lugha tumeona tumetembelea watu mashuleni na vyuoni lugha ya kiingereza ni ishu kwao
   
 7. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  So far nice job, but I am going to comment on the followings:

  1)Desing design design!
  Guys you need a front end developer to assist in graphics. Your site looks great but I believe you could give us more than what you have done. Color harmony is barely considered. Perhaps you should have thought about changing either your logo to follow the new theme, or change the theme to have same colors as your logo.

  2)Animation
  I always talk to people about this very often. Why should a 2010 website look like it was designed in 90's? These scrolling texts are old fashioned. With many freely available scripts out there should be enough to come up with something more appealing. Why not try JQuery, mootools or even flash if you have the skills?

  3)Platform
  I am very surprised to find out people complaining about the login system not working properly - not sure why it's supposed to be this way. Did you develop this thing right from scratch? As far as my opinion is concerned, you guys could have a better shot employing Drupal, Joomla or even WordPress for that kind of project. The fact that people have problems with login make me think that you wrote this whole thing yourself from step one - which I don't think is a good decision.

  The bottom line is, your have done a great job. Really, this looks awesome! However, anything below standard is less likely to be accepted! It would have been much better if your site had a more professional look. I don't know how many of you worked on this, but I am sure you need newr talents on board, especially on the design part (since I haven't browsed the content yet, there is no much I can say about it!)

  If you need help with design, just post in this category - we have lot of talents in JF, and I can my self give you guys a push.
   
 8. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwanza tunashukurun wotre kwa maoni na michango yenu,tunawaahidi kuwa kazi ndio imeanza,hatutarudi nyuma,napenda kutolea ufafanuzi juu ya mambo kadhaa

  Platform
  Katika masuala ya design inategemea nini lengo la baadae(Scalability),kwa kutumia CMS kunakuwa na limitation fulani, AfroIT ni full Technology hivyo huwezi kudesign kwa kutumia CMS,you never know usije ukasikia kuna CMS ya AfroIT,kiufupi kama mipango ikienda kama ilivyo basi AfroIT itakuwa ni kila kitu kuhusu ICT(kama umesoma kwenye About Us,AfroIT ni google ya kiTz,stay tuned) hivyo ni ngumu kutumia CMS,

  Design & Animation
  Kimsingi ni kweli kwenye graphics kuna mapungufu madogomadogo,ila hii ni kwa sababu lengo letu sisi ni kuweka kitu kiwe chepesi ili kutowapa watu wenye connection za mafungu matatizo,pia ukiangalia website nyingi za technology ni simple mno,ie our target is contents,ila tumechukua ushauri na tunaufanyia kazi,tegemea mabadiliko machache siku za usoni kwani team nzima ya AfroIT ipo kwa ajili hii


  Lugha
  Sisi lengo letu ni kuiwezesha jamii ya kitanzania,kama umeona tumejitahidi kutumia english na swahili ,hii ni kutokana na mazoea fulani,ingekuwa ni ngumu mno kama website yote ingekuwa ni kwa kiswahili,hivyo tumegawa kwenye Phase tatu,hadi phase ya mwisho inamalizika basi AfroIT itakuwa ni kiswahili kwa 80%.Ila tutajitahidi kwa kadri tuwezavyo tuwe na contents zenye manufaa na matumizi kwa Watanzania,stay tuned kusikia lactures za kiswahili kwenye fani mbalimbali,just some weeks.

  Login
  Login na register nadhani haina matatizo kwani tumetest kwa watu wengi,labda mkuu Maro kuna message gani inatokea? kwa wale members kama Mkuu Yonamaro ambao walishajisajili kwenye forums kwasasa tunaendelea na mchakato wa kiufundi ili kuwezesha watu kutumia infos za forums kwenye website,kwa sasa tunasikitika kusema inatakiwa ujisajili upya kwenye website ili uweze kutuma maoni. Blog na Download hazihitaji kulogin,ni just weka some infos then your ready to comment,kwa wale wenye mapenzi na kuandika(Bloggers),unaweza kuwasilianana webmaste kwenye webmaster@afroit.com ili kukupa info za jinsi gani unaweza kuanza kutuma post kwenye blog

  Bado tunakaribisha maoni wakubwa!

  Kilongwe - AfroIT Admin
   
 9. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Jambo la mhimu mjitaidi kufanyia kazi maoni ya wadau hasa kutoka jf
   
 10. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwana AfroIT,timu nzima ya AfroIT ipo kwenye harakati za kuandaa updates mbalimbali za AfroIT,hii ni kuanzia muonekano,utendaji kazi nk,.Tunatarajia kuja na AfroIT SP1 ndani ya siku chache ili kufikia lengo la kuwa na stable and interactive ICT port,hivyo mchango wako ni muhimu kuhusu nini kifanyike,features gani ziondolewe au ziongezwe.
  Tegemea new features kama webcast,podcast,interactive videos,Unified Userinterface nk

  Jamvi la maoni limefunguliwa!

  Admin
   
Loading...