LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,254
- 17,975
Manyara na singida inanyesha, kuwa na subira ni bora sana, mvua huja kwa majira yake, isipokuja kwa majira yake hapo ni kwa kumuomba Mungu na kumuuliza kwa nini mvua haikunyesha kwa majira yake? Tofauti na mwezi huu imechelewa kunyesha wiki kadhaa kelele za ukame zikaanza kupigwa na kutia hofu watu kuwa kutakuwa na ukame. Mungu ni mwenye nguvu si wa kusumbuliwa kwa wito wa maombi yenye hofu na kukosa shukrani. Mvua ipo na itanyesha kwa wakati wake