Habari njema Sana; Mvua kubwa yanyesha Mwanza na kuleta mafuriko baadhi ya Maeneo

Manyara na singida inanyesha, kuwa na subira ni bora sana, mvua huja kwa majira yake, isipokuja kwa majira yake hapo ni kwa kumuomba Mungu na kumuuliza kwa nini mvua haikunyesha kwa majira yake? Tofauti na mwezi huu imechelewa kunyesha wiki kadhaa kelele za ukame zikaanza kupigwa na kutia hofu watu kuwa kutakuwa na ukame. Mungu ni mwenye nguvu si wa kusumbuliwa kwa wito wa maombi yenye hofu na kukosa shukrani. Mvua ipo na itanyesha kwa wakati wake
 
Ama kwa hakika hakuna mateso yasiyo na mwisho

Muda huu mvua kubwa imeanza kunyesha Mkoani Mwanza na maeneo ya jirani

Kumetokea mafuriko makubwa yaliyopelekea baadhi ya mito kufurika ikiwemo mto mirongo uliopo Jijini Mwanza

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote na jina lake lihimidiwe
Walaaniwe wale mbwa waliokuwa wanaombea balaa,sio huko tuu Nchi nzima mvua zimeanza kunyesha.

Mkoa niliko ilianza usiku imekata saa 4,,Mungu wa Samia sio Lisu wala Polepole na gange lao.
 
Unashangaa nini mvua kunya? Kunya haina maana ya kwenda chooni tu, kunya ni neno la kawaida. Inasemwa mvua imekunya, yaani imenyesha
 
Ama kwa hakika hakuna mateso yasiyo na mwisho

Muda huu mvua kubwa imeanza kunyesha Mkoani Mwanza na maeneo ya jirani

Kumetokea mafuriko makubwa yaliyopelekea baadhi ya mito kufurika ikiwemo mto mirongo uliopo Jijini Mwanza

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote na jina lake lihimidiwe
Unamshukuru nani? Hivi unajua au hujui weather forecast za ukanda za wiki mbili mbele? Kuna mchungaji mwingine katwambia ataomba jumapili mvua ije ukanda wa dar pwani huku wakati forecaster inaonyesha itakunya

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mvua ya leo asubuhi ni matokeo ya maombi yetu jana usiku. Mimi na Mama tuliomba sana ili mvua inyeshe na asubuhi Mungu akajibu maombi yetu. Mimi niko Mwanza.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom