Habari njema Sana; Mvua kubwa yanyesha Mwanza na kuleta mafuriko baadhi ya Maeneo

Ama kwa hakika hakuna mateso yasiyo na mwisho

Muda huu mvua kubwa imeanza kunyesha Mkoani Mwanza na maeneo ya jirani

Kumetokea mafuriko makubwa yaliyopelekea baadhi ya mito kufurika ikiwemo mto mirongo uliopo Jijini Mwanza

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote na jina lake lihimidiwe

MCL
Kazi iendelee...asante saana Mama
 
Nimeshaanza kuamini kuna watu wana uwezo wa kuzuia mvua nchi hii na wanaweza izuia ili wakuharibie au wewe ndio uonekane chanzo cha ukosefu wa mvua kama walivyofanya kwenye maji safi, umeme, bidhaa na mvua kama ilivyojitokeza nchi nzima.
Wakulungwa hawa noma sana
 
Back
Top Bottom