Habari Njema kwa Watanzania wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari Njema kwa Watanzania wote

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Michael Amon, Dec 6, 2011.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kampuni ya Young master Supplies & General Enterprises inayohusika na mambo ya IT iliyopo jijini Arusha inapenda kuwatangazia wananchi na wakazi wote wa jiji la Mwanza kuwa Mafundi na wataalamu wa IT kutoka katika kampuni hiyo watakuwepo katika jiji la Mwanza kuanzia tarehe 15 December wakitoa huduma zifuatazo:

  · Computer hardware and software repair and maintenance
  · Data recovery
  · Local and network printer installation and configuration
  · Virus and spyware removal
  · Hardware and software upgrades
  · Selling of all types of computer software and games
  · Wired and wireless network setup (consist of network installation and configuration)

  Kwa yeyote ambaye engependa kupata huduma hizi za IT kutoka katika kampuni hii iwe mtu binafsi au kampuni, tafadhali unaombwa kuwasiliana na kampuni yetu kabla ya tarehe 15 ili uweze kuweka order mapema ya kupatiwa huduma hiyo.

  Wasiliana nasi kupitia anwani zifuatazo:
  Mobile: +255789 884 221
  E-mail: youngmasterent@gmail.com
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thanx for the infor mkuu and best wishes
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  thank you
   
Loading...