Habari njema kwa wapenda ngono !!!!

Habari njema kwa wapenda ngono !!!!

Cha muhimu hapa ni chuo at least kuwa na mradi kama huo, whether watafanikiwa au la!!! si muhimu kwangu, ingawa wakifanikiwa tutacelebrate, lakini mimi natamani tu kuona vyuo vyetu vinajikitita kwenye research za muhimu kama hizi... period.
 
^^^^^ ulichosema ni kweli kabisa, na nakuunga mkono mzee !
 
Habari ya chanjo ni njema saana.Lakini muhimu pia tusisahau kuacha ngono ambao hatujaanza,kondom kwa waloanza na uaminifu kwa walioa,olewa au wanaocohabit
 
Wapenda ngono either tayari ni waathirika au walishaanza. Although the only reliable cure ni kubalisha tabia ya Usiri usio na msingi. Waafrika Tunaathirika kwa sababu ya usiri. una wapenzi mlima lakini kila mmoja unamwambia 'Ni wewe tu' Wenzetu wa ulaya wakimpata mpenzi they will parade him/ her kila mtu atajua. therefore you cant lie ni wewe tu. Hata wazungu wanapenda ngono lakini maambukizi rate zao ni ndogo kwa ajili hawana usiri usio na sababu. Hizo chanjo zisiwatie kiwewe. they just immediate curb of the very long problem. Je ni wangapi watamudu kununua dawa? Acheni Uzinzi na Uasherati God will punish you all.
 
kwa hiyo inawezekana pia katika list ya vitu vinavyochangia maongezeko ya gonjwa la ukimwi sio kutokuwa na patna mmoja tu bali na usiri nao, which i truly believe ni kitu ambacho kinaendeleza kampeni yake ya kuua watu ovyo. lakini pia watu hawapo tayari kubaki na maharage tu kila siku, hapo ndipo wengi wa/tunaposhindwa !
 
Wapenda ngono either tayari ni waathirika au walishaanza. Although the only reliable cure ni kubalisha tabia ya Usiri usio na msingi. Waafrika Tunaathirika kwa sababu ya usiri. una wapenzi mlima lakini kila mmoja unamwambia 'Ni wewe tu' Wenzetu wa ulaya wakimpata mpenzi they will parade him/ her kila mtu atajua. therefore you cant lie ni wewe tu. Hata wazungu wanapenda ngono lakini maambukizi rate zao ni ndogo kwa ajili hawana usiri usio na sababu. Hizo chanjo zisiwatie kiwewe. they just immediate curb of the very long problem. Je ni wangapi watamudu kununua dawa? Acheni Uzinzi na Uasherati God will punish you all.

hivi kupenda ngono mnakusudia nini?

kupenda wanawake wengi? au kufanya sana?

maana kama kupenda ngono ni kufanya sana kusema wapenda ngono ni waathirika hujawatendea haki. wako watu wana mpenzi mmoja na wanapenda kufanya kwa siku zaidi ya mara nne. huyu ana mmoja tu ataathirika?
 
hata kuna rais mmoja wa afrika ( sijui camerron ) alisema anayo dawa ya ukimwi ! nikasema ooh, really ?

Huyo ni Alhaji Lt. Dr. Yahya Jammeh wa Gambia, na amefungua dispensary katika ikulu yake ambako anatibia wagonjwa yeye binafsi. Ukisoma magazeti ya Gambia utaona jinsi anavyosifiwa na wananchi (au magazeti). Ni yule aliyempindua Sir Dawda Jawara.
 
duh, kwa hiyo na yeye anafanya biashara ikulu tena huyo ni balaa yaani kaweka makazi ya biashara yake ikulu !
 
Na ZAIRE ya Mobutu ikaja na MM1 au mmesahau? Au mlikuwa wachanga nyinyi?

Alikuwa profesa mmoja wa Zaire na mmoja wa Misri, wakaamua kujikomba kwa marais wao kwa kuipa hiyo dawa jina ambalo ni kifupi cha majina ya hao marais. MM1 ilikuwa "Mobutu-Mubarak-1"
 
hivi kupenda ngono mnakusudia nini?

kupenda wanawake wengi? au kufanya sana?

maana kama kupenda ngono ni kufanya sana kusema wapenda ngono ni waathirika hujawatendea haki. wako watu wana mpenzi mmoja na wanapenda kufanya kwa siku zaidi ya mara nne. huyu ana mmoja tu ataathirika?

unajua kuna mheshimiwa member mmoja hivi alisema juu ya usiri katika mapenzi ikiwa kama chachu ya ongezeko la ukimwi, which to me made sense, unajua kama akiwa na mmoja cha kujiuliza je what about the other patna ? je nae kweli hatoki na wengine huko nje ? maana mara nyingi sio kusema kwamba maambukizi yanaletwa kwa kuwa wote walikuwa wanacheza ( inawezekana lakini in a very low situation). mara nyingi utakuja patna mmoja anatoka nje ovyo na kuleta magonjwa ndani na kuanza kuangamizana, na hayo cheni ya maambukizi ndipo huanzia !

mkuu, kupenda ngono in a sense kwamba kuwa involved na more than one patna, kuwa nao na kufanya nao mapenzi ! kuwa nao kuna chances za kuambukizwa, kufanya nao yaani ndio even more greater risk yaani hapo alama nyekundu !
 
Alikuwa profesa mmoja wa Zaire na mmoja wa Misri, wakaamua kujikomba kwa marais wao kwa kuipa hiyo dawa jina ambalo ni kifupi cha majina ya hao marais. MM1 ilikuwa "Mobutu-Mubarak-1"

ooh, i get it now !!
 
Habari ya chanjo ni njema saana.Lakini muhimu pia tusisahau kuacha ngono ambao hatujaanza,kondom kwa waloanza na uaminifu kwa walioa,olewa au wanaocohabit

cha ajabu wengi huona aibu kununua kondomu. nakumbuka kuna siku nilienda dukani nikachukua trojans bana za pact 3 10, yaani 30. kuna mmama aliniangalia akasema "damn, all that ?" mie nikacheka, nkaondoka zangu !
 
jamani kondomu peke yake haitoshi. utakuta jamaa anadai anaweka usalama mbele anatinga kondomu kisha huyooo anaingia chumvini, damn! si kujidanganya huko? kisha anaendeleza libeneke eti yeye anazingatia usalama. kaaazi kweli kweli.
 
Jamani hii HEADING vipi - "BREAKING NEWS: HABARI NJEMA KWA WAPENDA NGONO"Hii kwa kweli ni UPUUZI MTUPU. Maana aliyeweka hiyo heading anataka kutuonyesha kwamba NGONO ni kitu cha masihara tu na kwamba hakina madhara yoyote kwa jamii, wakati thousands of people are dying with HIV/AIDS because of NGONO. Huku ni kuleta utani na vitu ambayvo ni VERI SIRIAZI. Tuache heading za kijinga kwenye mambo ya msingi
 
Hii kitu bora muwache mahangaiko

Ukimwi Upo Acheni Ngono dawa hakuna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom