Habari njema kwa Vibonge!

haya mpwa yana raha yake bana upo nalo maeneo maeneo umekaa nalo unapata moja baridi moja moto likaenda toilet angalia meza za karibu wanaume kwa wanawake wanavyo tumbua mimacho kuangalia Singida Dodoma kama wamebanwa na mlango.

Loh TIQO ugonjwa wako ushajulikana.
 
Hata mimi nilikua nacheat kidogo, nisingecheat nadhani ningepungua zaidi ya hapa napenda sana chai so nikawa nashindwa kunywa bila sukari nikawa naweka sukari kidogo. Jaribu hii soup ni kiboko
 
Hata mimi nilikua nacheat kidogo, nisingecheat nadhani ningepungua zaidi ya hapa napenda sana chai so nikawa nashindwa kunywa bila sukari nikawa naweka sukari kidogo. Jaribu hii soup ni kiboko

:becky::becky: kwenye chai ukiweka asali je?
 
haya mpwa yana raha yake bana upo nalo maeneo maeneo umekaa nalo unapata moja baridi moja moto likaenda toilet angalia meza za karibu wanaume kwa wanawake wanavyo tumbua mimacho kuangalia Singida Dodoma kama wamebanwa na mlango.
Burudaaaani, kama ulikuwepo vile, nilikuwa nalo maeneo hayo siku moja, wale wakunga walivyogeuka, nusura nitangaze kugombea ubunge niwaombe kura zao...dah Mungu engineer jamani!
 
Burudaaaani, kama ulikuwepo vile, nilikuwa nalo maeneo hayo siku moja, wale wakunga walivyogeuka, nusura nitangaze kugombea ubunge niwaombe kura zao...dah Mungu engineer jamani!

hahahaha we unafikiri ajari nyingi barabarani huwa zinasababishwa na nini? ni hizi hizi nyama laini madereva wanashangaa mno hata wa boda boda nao
 
Madame B watu wenye shepu za hivyo ni wachache sana. We ukipita barabarani unakutana na wangapi wenye pododo kama lako? wengi wamenenepa hovyo hovyo tu matumbo yametangulia

Kwa kweli Maty me nataka nipungue ila hyo hazina sitaki ipungue kbs.
Kuangaliwa lazima bhana.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha we unafikiri ajari nyingi barabarani huwa zinasababishwa na nini? ni hizi hizi nyama laini madereva wanashangaa mno hata wa boda boda nao

Hahahahaha we na franky mnachakachua thread bana lol
 
Maty gigapododo langu Aisha vp likipiga hii kitu si litabaki skeleton?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli Maty me nataka nipungue ila hyo hazina sitaki ipungue kbs.
Kuangaliwa lazima bhana.

Hahaha huwezi kua na kamwili kama ka flaviana halafu unampododo kama wa shenaz bana utatisha. Utapungua mwili na mpododo utakuwepo tu usijali. Mimi nilivyonenepa hadi kampododo kangu kalianza kupotea baada ya kupungua na kenyewe kameanza kuchomoza tena
 
Mimi kazi yangu hapa ni kugonga LIKE tu.....
kwenye pododo nagonga LIKE,
kwenye Fahari ya Taifa nagonga LIKE
kwenye roho mbaya nagonga LIKE.

kwa roho saaaafeeeeyy kabisa.
 
unajua mpododo nao una maumbile yake mtu mnene akiwa na mpododo basi anapendeza kwa unene wake na mpododo hapo hakuna haja ya kufanya modification
 
Na wewe share basi diet yako
 
Hayo ndo maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…