Habari njema kwa Vibonge!

Habari njema kwa Vibonge!

Mi hii suou p ilinipunguzia kilo 7 kwa wiki mbili na nilikiwa na cheat sana ila baa da ya kuacha mwehh nimerudisha zote na kuongeza kilo wanasema inapunguza water weight kwny mwili so results siyo permanent unless umaintain diet plan ktk style ya maisha yako
 
Nimekuja mbio nikafunga breki ghafla....wacha nibakie futufutu hivihivi
 
Kunenepa rahisi tu kula vizuri fakamia msosi hasa minyama, chips mayai kwa sana soda tano kwa siku maji kunywa kwa msimu ukisikia kiu kuywa pepsi. Ukiona unafanya yote hayo hunenepi basi una roho mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inakukausha.
ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom