Habari njema kutoka Airtel...WTH

Habari njema kutoka Airtel...WTH

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi na Airtel.


Mind you huduma hii ilikuwa inatolewa kwa Tsh. 2500/- kwa 400MB kwa mwezi.
Hebu airtel niambieni hizi zenu zinakuwaje habari njema.
#boring ... Heri hata msingesema.
 
Mentor kwanini uangaike na ma modem mkuu, mbona kuna hawa ISP kama Raha, Power computer hutoa huduma nzuri sana za net kuliko hio ma mitandao,
 
Last edited by a moderator:
Mentor kwanini uangaike na ma modem mkuu, mbona kuna hawa ISP kama Raha, Power computer hutoa huduma nzuri sana za net kuliko hio ma mitandao,

Kaka noahism mimi hutumia bundle hiyo kwenye simu yangu.
Huwa pia naitumia simu yangu kama modem hivyo kwangu ni pigo kubwa sanakizingatia sina line nyingine zaidi ya airtel ndugu... #nimesikitishwa .
 
Last edited by a moderator:
Wizi + Utapeli= Ulaghai

Yani huu ni wizi wa mchana...halafu tena wanakutangazia.
Mimi nilidhani kadri tunavyoendelea ndivyo huduma hizi za internet zinakua rahisi kumbe sivyo...daah!
 
nanunua bundle la tigo kwa siku 750/= ila sijui wananipa MB ngapi, wananiambia eti ni unlimited, nahisi waongo hao,
 
Back
Top Bottom