Privatelife
Member
- Jun 18, 2025
- 28
- 62
- Thread starter
- #21
MuhimuUnajitetea
MuhimuUnajitetea
Kajifunze kutongoza madem wa mtaani kwako acha kuwa zobaNaitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
Mimi stongozi nimeomba RafikiKajifunze kutongoza madem wa mtaani kwako acha kuwa zoba
🙏All the Best
Dada dharau sipendi BwanaaKuna huyu naye hutafuta marafiki humu mtaendana. Marry Diana njoo rafiki kapatikana pia shoga ako Lamomy aje ampitishe rafiki yako.
Ukisikia kuuwasha moto ndiyo leo 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nani aolewe na msukumaAhaa sawa, mcheki huyu Marry Diana pengine mtapata muafaka.
Duh! Kwani si kasema rafiki wa kike! Wewe pia uliwahi kuhitaji rafiki ndiyo maana nikakuita.Nani aolewe na msukuma
Nilihitaji mtu wa kunitoa out Kwa siku Ile na ilishapitaDuh! Kwani si kasema rafiki wa kike! Wewe pia uliwahi kuhitaji rafiki ndiyo maana nikakuita.
Ahaa pengine nilikuelewa vibaya.Nilihitaji mtu wa kunitoa out Kwa siku Ile na ilishapita
OkAhaa pengine nilikuelewa vibaya.
Dharau gani nawewe? Hukusema unataka marafiki wa kike na wakiume wewe? Huyu naye anataka marafiki, labda useme unachagua ila ulisema wa humu nayeye ni wa JF. Namimi hunitaki kuwa rafiki yako?Dada dharau sipendi Bwanaa
Anakana kuliko PetroDharau gani nawewe? Hukusema unataka marafiki wa kike na wakiume wewe? Huyu naye anataka marafiki, labda useme unachagua ila ulisema wa humu nayeye ni wa JF. Namimi hunitaki kuwa rafiki yako?
Hakuna Tangazo la Ndoa hapo dadaNani aolewe na msukuma