nilishashudia ndo maana nimeeleza nilichokieleza
ushawahi kuona mtu anapita treni kwa kukimbia? omba hii itokee
ushawahi kuona mtu anapita treni kwa kukimbia? omba hii itokee
Tusimulie hilo tukio lilitokea wapi na mwaka gani basi nasi tupate kuhabarika
Tusimulie hilo tukio lilitokea wapi na mwaka gani basi nasi tupate kuhabarika
Au unataka kupeleka kweye lile gazeti letu kipengele cha riwaya?
Halafu anakimbia na kujikuta akigongwa na gari na kufa yeye, dingi anarudi kwenye majukumu yake ya kidunia
ni stori ndefu bana.......ntakuhadithia kwenye thim
Nitaliweka kwenye sehemu ya Mauzauza...:smile-big:
Mmmmh!! miye sitaki uhadithie kwa urefu...niambie tu ilitokea wapi, lini, na muhusika alikuwa nani(huyu unaweza kumuhifadhi lake jina)...
wapi Sumbawanga...... Manzitwiswe mwaka 2002
should i add something
No coz u're kinda kidding
Damn serious......
Daah yataka moyo sana kumsogelea marehemu mfufuka