Habari mbaya kwa wanaotoka nje ya ndoa zao

Ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?
hizo ni laana na nndo mshalaaniwa na mjiaandae na moto mkaal utakao waangamiza..umemfunga mtoto wa watu nyumbani na ukizingatia asilimia kubwa mnofanya hivyo wake zenu wanawaheshimu na kuwapa kila kitu bila kuvunja maadili ya ndoa....leo wasema eti changudoa mtaaamu kuliko yule anaekufulia, kupikia katm ukashiba,na mwzingira ya nyumba yako yakapendeza...ama we umevunda umeoza kwa kuzini na kufurahia na kutenda maovu...mungu amsaidie huyo mke ulonae...:A S-danger:
 
Mhhh!...mbona yule daktari aliyekuwa anatokea visiwa vya Pemba, JIMBO LA wawi , na alipata kuwa makamu wa rAHISI alikuwa na Mkewe, na akapata mshituko kama huo, na ikawa ndo mazima?

Na profesa wetu wa DS pia ilimkuta hiyo akiwa na mkewe. Nafikiri hii inatokana na wanawake kudai shughuli nzito kutoka kwa waume zao ambao kidogo battery imeshapungua nguvu, sasa wanapojaribu ku-recharge ili wawafurahishe wapendwa wao ndipo yanatokea haya.
 
Tufanye mazoezi wandungu (sio hayo ya tendo la kujuana) ili kuepuka mashinikizo haya. Magonjwa mengi yanayotokana na kuongezeka umri hupungua kwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
 
Ndugu zangu kama mumenusurika basi ujue ni bahati zenu. Lakini kuna siku utaumbuka. Ebwanae wanaocheat wanaonekana ni wengi, tena sana. Duuh! hataari.

Unajua ukiwa unatoka nje, kunakuwa na chembechembe za hofu na woga, sasa hio ndo inasababisha matatizo ya moyo.
 
utafiti huu ni kwa hisani yako?


ya wamerakani na wewe ujui jamani kila kitu watuwekee marekani ...ujumbe umekufikia
sasa mkuu rsd na yule mkemia wetu mkuu kule tanga vipi
embu tupe ukweli maana na yeye shinikizo la dwwaaamuu sasa uko arusha alikuwa mwenyewe ama na mkewe?
 
FACTORS THAT LEAD TO SUDDEN DEATH.

Sexual Greed. Stuides done have shown that about 85% of men that died on top, died outside their homes,mainly in hostels and most of them died on top of women who were never their wives.eg prostitutes,girlfriends etc.

Use of Sex Stimulating Drugs. Sex drugs like Viagra, which is most popular,have a common mechanism of action.They cause erection by increasing the level of nitric oxide,which is a powerful vasodilator.The drugs increase penile blood flow and thus erection

Heart disorders. Cardiac problems and other debilitaing metabolic health conditions can predispose to cardiac arrest during sexual intercourse.
BE CAREFUL SO U'LL NOT DIE ON TOP.
 
Ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?

Tatizo maza hausi wanajisahau sana. Pia kitabu kimoja cha dini kinasema 'chakula kinacholiwa ufichoni ni kitamu'.
 
Ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?

Na nyumba ndogo ya maza hausi wako inamuona maza hausi wako mtamu kuliko mkewe au gelofriend wake lol!!!!!!!!!!!
 
Kila siku unakula ugali na mboga moja, haiwezekni buana, michepuko lazima iendelee
 
Back
Top Bottom