Habari mbaya kwa walevi wa pombe kali

Habari mbaya kwa walevi wa pombe kali

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
VODKA LAWAMANI:Asilimia 25 ya wanaume Urusi hufa kabla ya kutimiza miaka 55 kutokana na ulevi wa kupindukia, utafiti waonyesha leo, Vodka inachangia vifo vingi.
 
Huku kwetu tuna kiroba Original" Jogoo", kiroba konyagi,number 1, burdan wine, banana wine....hizo ni soo ni kununua mauti tu
 
VODKA LAWAMANI:Asilimia 25 ya wanaume Urusi hufa kabla ya kutimiza miaka 55 kutokana na ulevi wa kupindukia, utafiti waonyesha leo, Vodka inachangia vifo vingi.

Heri mimi mlevi wa pombe kali lakini sio Vodka!!!
 
Ukweli usemwe: Kuna matangazo mazuri sana yanayohusiana na pombe lakini ukweli ni kuwa watu wanaoneshwa wanaofurahiia kuwa ni kitu kizuri, kiuhalisia siyo. Watangaza pombe hawaoneshi upande wa pili wa shilingi kwa sababu wanajua kuwa wakionesha watapoteza new entries, pia watawapoteza wakongwe. Fikiria wangapi wamejikojolea nguoni baada ya kuelewa, wengine mpaka wamejinyea, wangine wamepoteza fahamu na kulala kwenye mitalo michafu, wengine wamekufa kwa ajali ambazo chanzo chake ni pombe. Kuna uthibitisho wa kisayansi kuwa pombe zote zina madhara japo kwa viwango tofauti tofauti, Pombe zinaua tuache kujifariji, eti mimi sinywi vodka!!!!! kwa hiyo unadhani uko salama!!! unajidanganya, achana nazo badala yake kunywa maji, juice, maziwa. TAFAKARI KWA MAKINI MARAFIKI ZAKO WANGAPI WAMEKUFA KWA POMBE
 
VODKA LAWAMANI:Asilimia 25 ya wanaume Urusi hufa kabla ya kutimiza miaka 55 kutokana na ulevi wa kupindukia, utafiti waonyesha leo, Vodka inachangia vifo vingi.

Daah wengine huku tunaishi tukiwa tumekufa maana kuna watu wengi ambao bila gauge kusoma 120 km/h majukumu yake ya kila siku hayaendi!
 
VODKA LAWAMANI:Asilimia 25 ya wanaume Urusi hufa kabla ya kutimiza miaka 55 kutokana na ulevi wa kupindukia, utafiti waonyesha leo, Vodka inachangia vifo vingi.
Pombe ni pombe tu haijalishi kangara, beer, gongo wala vodka. Dawa ni kuacha pombe yoyote na sio Vodka tu pekee
 
Back
Top Bottom