Habari kutoka redio mbao

Ni kweli ni mgeni na isingekuwa ugomvi wa bwana handsome na the elderly asingekuwa pale. Malaika anaelewa kuwa anachukiwa sana na ni mwoga wa ballots . Kipindi hiki mpaka ballots ipite kuna atakae tolewa kafara ili malaika atakate.
The elderly anajitahidi kutunza maslahi yake. Hawaoni watoto wa mjini wamepoteza vyote lakini bado wamegangamala.

Na mziki wa Kissu kule nyikani nayo haimpi usingizi. Waliodhani 2020 itakuwa ganda la ndizi wamechelewa.
Ukimuangalia Malaika Kwa jicho la pekee. He, himself, ni muoga hana uwezo wa kusimama kwenye ulingo wa siasa ziwe za ndani au za kimataifa, ndio maana ana burst na kukurupukia mambo yakigoma anakuwa kimya kama sio yeye. Ili la Kissu nyikani linamnyima kweli usingizi ila lipo nje ya uwezo wake, hana pa kutokea, ndo mana anaamua kushika hapa na pale, kukuza mambo, kujisafisha ili a destruct attention kule nyikani, all in all 2020, kuna mengi yatatokea. Stay tuned
 
Mkuu mburushi inawezekana ameitwa kudhibiti mikeke ya kisu kwani yule ana International kipirience.
 
Madame kote huko nimeelewa ila kwa Angela bado umeniacha au anataka kufanywa kama mgombea makamu wa Rais maana nahisi kule kwenye serikali ya mapinduzi ya zanzibar, Samiah suluhu anaweza akasimama kama mgombea rais kwa tiketi ya CCM.

Umakamu wa Rais kwa bara Angela kairuki akasimama badala ya samiah suluhu.

Au napo fikra zangu zinanidanganya...
 
Madame kote huko nimeelewa ila kwa Angela bado umeniacha au anataka kufanywa kama mgombea makamu wa Rais maana nahisi kule zanzibar, Samiah suluhu anaweza akasimama kama mgombea rais.

Au napo fikra zangu zinanidanganya...
Angela angel malaika
 
Huko kwa shingo kaweka nyama zake, yaani shingo yote imejaa nyama na misuli zake. Nashangaa damu itaruhusiwa vipi kupenya hadi kichwani bila idhini ya shingo. Its still tough, unless kule idodomya kuwe na mijadala kamambe ya kubadilisha makaratasi ili shingo isiwe inageukia upande wa nyasi za kijani tu.
 
Kuna immune system ya mwili, kuna strategic plan, immune system inambeba malaika ili kuepuka historia mpya ingawa malaika yeye hana strategic plan yakuimalisha kinga ya mwili, ndio maana eneo la korosho limekuwa tishio kwake, malaika anatambaa na Kiki magogoni (panga pangua) wenzake wanapanga vyema kete zao, hivyo elderly katimba hom lengo kuu ni kuweka mikakati na kuimalisha mishipa ya damu ipeleke mzigo vyema kule unapoitajika ufike bila kizuizi na hili litasukwa vyema pamoja na yule mtu mweupe aliekuwepo kipindi cha kumpokea elderly pale atm ya buku saba Kwa kadi, kuna visible na invisible immune system. Anachofanya malaika ni ku organize invisible system ili influence mambo yaende visible itakuja baadae kupiga debe. Malaika Kwa kweli ni blind in this game anafanya kushauliwa tu,

Back soon.
anjela si aliwahi kusema yeye hajawekwa na wamachinga?? kama kuna mmachinga alietoa sadaka anyooshe mkono?! na hakunyoosha hata mmoja....hiii ilinifanya nishangae sana kumuona mtu mweupe
 
anjela si aliwahi kusema yeye hajawekwa na wamachinga?? kama kuna mmachinga alietoa sadaka anyooshe mkono?! na hakunyoosha hata mmoja....hiii ilinifanya nishangae sana kumuona mtu mweupe
Yaap, ndio siasa, si kila mtu unamuitaji kila wakati (hata wapiga kura huwaitaji mda wote), kuna watu utawaitaji kwa mission maalum, kuna wengine utawa detain ili mambo yaende. n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom