Habari kutoka redio mbao

Siasa ni kama mchezo wa draft mbali na kutumia kete zako lazima ujue adui yako anawaza nini na anaweza kutumia kete zipi, timing pia inaitajika kuweza kutumia kete za adui yako kabla hajazitumia kukuangamiza, hivyo anko alimuitaji ed na mwingine asie na wadhifa au ana wadhifa invisible ili wasitumiwe na kambi pinzani ndani ya chama kitukufu, vinginevyo mtukufu anko atavunja recod ya kutawala muongo mmoja, so mambo yawe sawa ni kujenga urafiki na rafiki wa adui yako ili adui awe karibu kumdefeat. Na urafiki wao sio wa kununuliana kikombe cha kahawa au ule urafiki wa Boyz 2 men, Bali urafiki wao ni wa kukaa kwenye system mda mrefu ndani ya chama, Kwa uhusiano huu ni raisi kumnunua mmoja alafu mwingine awe sadaka Kwa tamaa yake, mana naye akianzisha safari ya ma hope 2020, tutajuwa tumembana angle zote automatic atashindwa na atapita njia ile "Nimerudi Nyumbani" Game Over.
Thank you lakini the elderly bado ana influence ya kuishawishi mishipa wana koromeo kumpitisha malaika? Ninawasiwasi na Mburushi atatumia kete gani kwani kule eneo la korosho kunaonekana ni tishio.
 
Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.

Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani. Huku kwenye shingo kuna wanaomtaka muakilishi kutoka maeneo ya figo. Ujio wa yule elderly ni kuishawishi mirija ya shingo imruhusu Angela aende kichwani.
Huyu mrudi nyumbani anauzoefu sana na enzaimusi wa immune system ya mwili mzima. Siajabu chai ya siku ile pale ngome na mpesiani ilikuwa ni ya kimkakati zaidi.
Sitashangaa kumuona "Mlamaji" nae akienda kupiga picha ngomeni... Wanasiasa ni shwaini kabisa...
 
Ukijua hili wenzako wanajua lile, hakutegemea kabisa kuwa shingo itakuja kuwa kikwazo kwa mwenye kigoda.
 
Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.

Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani. Huku kwenye shingo kuna wanaomtaka muakilishi kutoka maeneo ya figo. Ujio wa yule elderly ni kuishawishi mirija ya shingo imruhusu Angela aende kichwani.
Fumbo Kuu la Imani mbona kha?!
 
Thank you lakini the elderly bado ana influence ya kuishawishi mishipa wana koromeo kumpitisha malaika? Ninawasiwasi na Mburushi atatumia kete gani kwani kule eneo la korosho kunaonekana ni tishio.
Kwenye koromeo kuna limshipa moja ni kama lina safirisha damu nyingi sana ( bila kujali ni safi au chafu) kiasi kwamba mishipa mingine inakuwa na msukumo kidogo. Mburushi sio wa kumuamini sana, kwenye utatu hajajivua
 
Kuna immune system ya mwili, kuna strategic plan, immune system inambeba malaika ili kuepuka historia mpya ingawa malaika yeye hana strategic plan yakuimalisha kinga ya mwili, ndio maana eneo la korosho limekuwa tishio kwake, malaika anatambaa na Kiki magogoni (panga pangua) wenzake wanapanga vyema kete zao, hivyo elderly katimba hom lengo kuu ni kuweka mikakati na kuimalisha mishipa ya damu ipeleke mzigo vyema kule unapoitajika ufike bila kizuizi na hili litasukwa vyema pamoja na yule mtu mweupe aliekuwepo kipindi cha kumpokea elderly pale atm ya buku saba Kwa kadi, kuna visible na invisible immune system. Anachofanya malaika ni ku organize invisible system ili influence mambo yaende visible itakuja baadae kupiga debe. Malaika Kwa kweli ni blind in this game anafanya kushauliwa tu,

Back soon.
 
Elderly atakuwa amepunguza Nguvu kidogo Kwa safari yake ya mahope ataonekana ameyumba kimsimamo ingawa bado ana kete zake, ndani ya mfumo na zingine alizitanguliza kabla hajaingia mwenyewe hivyo atatengeneza ka mfumo ka ku influence Malaika habaki mjengoni,
 
Ni kweli ni mgeni na isingekuwa ugomvi wa bwana handsome na the elderly asingekuwa pale. Malaika anaelewa kuwa anachukiwa sana na ni mwoga wa ballots . Kipindi hiki mpaka ballots ipite kuna atakae tolewa kafara ili malaika atakate.
The elderly anajitahidi kutunza maslahi yake. Hawaoni watoto wa mjini wamepoteza vyote lakini bado wamegangamala.

Na mziki wa Kissu kule nyikani nayo haimpi usingizi. Waliodhani 2020 itakuwa ganda la ndizi wamechelewa.
 
Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.

Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani. Huku kwenye shingo kuna wanaomtaka muakilishi kutoka maeneo ya figo. Ujio wa yule elderly ni kuishawishi mirija ya shingo imruhusu Angela aende kichwani.

TAFSIRI
baada ya mkuu kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara dhidi ya upinzani
Wabaya wa ndani ya Chama wanamsubiri kwenye kura ya maoni
Ni lazima kura ya maoni impitishe muakilishi kugombea uraisi
Hapo kwenye kamati kuu ya Chama
Kuna wanao mtaka muakilishi kutoka maeneo ya korosho (MEMBE)
Ujio wa lowassa, ni kuishauri tume (kamati kuu) mume wa Angela kairuki kugombea Uraisi

Nasubiri mkuu wa kitani, na nguo za zambarau kutoka kwa Malkia SKY ECLAT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elderly atakuwa amepunguza Nguvu kidogo Kwa safari yake ya mahope ataonekana ameyumba kimsimamo ingawa bado ana kete zake, ndani ya mfumo na zingine alizitanguliza kabla hajaingia mwenyewe hivyo atatengeneza ka mfumo ka ku influence Malaika habaki mjengoni,
Malaika anahitaji kujua mbinu za alikotoka the elderly. Lakini tangu akaribishwe kwa chai pale mjengoni watoto wa mjini walimtoa kwenye mikakati.
 
TAFSIRI
baada ya mkuu kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara dhidi ya upinzani
Wabaya wa ndani ya Chama wanamsubiri kwenye kura ya maoni
Ni lazima kura ya maoni impitishe muakilishi kugombea uraisi
Hapo kwenye kamati kuu ya Chama
Kuna wanao mtaka muakilishi kutoka maeneo ya korosho (MEMBE)
Ujio wa lowassa, ni kuishauri tume (kamati kuu) mume wa Angela kairuki kugombea Uraisi

Nasubiri mkuu wa kitani, na nguo za zambarau kutoka kwa Malkia SKY ECLAT

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mume wa Angela hahusiki hata kidogo.
 
Malaika anahitaji kujua mbinu za alikotoka the elderly. Lakini tangu akaribishwe kwa chai pale mjengoni watoto wa mjini walimtoa kwenye mikakati.
Ili angelisoma mapema kama alihitaji mbinu za alikotoka the elderly, alikuwa na option mbili, either angemkaribisha chai mtu mwingine ndani ya chama kile kile au angetafuta mandhari nyingine tofauti anywe chai na elderly, lengo ni ku retain uhusiano wa elderly na watoto wa mjini. Na hili lingemsaidia kipindi hiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom