ha ha haaaa-huyo hause boy wa home kwake-jamaa kaingia mkataba na wife wake kuwa alee watoto yeye (wife) agonge kazi.
kwa lugha nyingine yy ni goli kipa.
Unamfahamu vizuri Mwita Maranya?Huyo si Mwita Maranya huyo.
Akitoka hapo akiwa na wanaume wenzia anajifanya,mie mwanamke hanichezi mie,kumbeee
ha ha haaaa-huyo hause boy wa home kwake-jamaa kaingia mkataba na wife wake kuwa alee watoto yeye (wife) agonge kazi.
kwa lugha nyingine yy ni goli kipa.ha ha haaaa!!
Wanao watetea ndivyo wanavyodaiKwa hiyo asipokuwa kwenye mudi unambaka?
Dah mi nilizani bro le mutuz ujue kwa haraka haraka